Hahahaππ,kuna msemo unaosema "kama unamuona anaanza kutoa matusi ujue kuwa hawezi kupambana kwa hoja"...Sema kama unajua pimbi wewe
Dogo kama unataka kuoata elimu tulia ujifunze. Hata hilo neno FDI nimekufundisha mimi. Hapa kuna watu wanaujuzi wao. Acha kujiaibisha. Unaaibisha nchi yetu.Hahahaππ,kuna msemo unaosema "kama unamuona anaanza kutoa matusi ujue kuwa hawezi kupambana kwa hoja"...
Jibu swala nililo kuuliza halafu nitakwambia kwanini kiwanda cha Dangote hakina hadhi ya kuitwa "FDI" katika uekezaji hapa Tanzaniaπ
Kweli kabisaZinafurahisha sana aiseee utasema jambo la utani kumbe tunapaswa kua serious
Sielewi Miguna Miguna anahusika vipi na viwanda?Endelea kusifia hao waliomzuia Miguna asikanyage Kenya
kweli mkuu lazima jitihadi za dhati zifanyie ....maana hapa ni lazima uwe na exposure ya kutoshaKaka Quinine sisi hatuimbi Viwanda, bali tunajenga viwanda, lengo letu na Kenya ni tofauti sana, Sisi mbiu yetu kuwa vyerahani vinne ni viwanda tofauti na wenzetu wanaowaza big factory
Kupata uwekezaji mkubwa kama huo ni lazima Lobbying ya nguvu ifanyike, na hao Big company kama Peugeot, Iveco, Ashok Leyland nk kuwapata mabosi wake ni level ya Marais, sio Mwijege akanegotiate na Iveco, JK alijishusha kwa Dangote na matokeo tukayaona,
Kama raisi hataki kutoka nje kuongea na hao Big companies unategemea Big project kutoka wapi?
hahahaha kaka mkuu,jibu swali langu,mimi najua "FDI" kuliko wewe na ndio maana nimekuwekea maswali,kukujaribu lakini unashindwa kujibu...?Dogo kama unataka kuoata elimu tulia ujifunze. Hata hilo neno FDI nimekufundisha mimi. Hapa kuna watu wanaujuzi wao. Acha kujiaibisha. Unaaibisha nchi yetu.
Hujui. Acha ujinga.hahahaha kaka mkuu,jibu swali langu,mimi najua "FDI" kuliko wewe na ndio maana nimekuwekea maswali,kukujaribu lakini unashindwa kujibu...?
Nijibu,kama umeshindwa nambie,umeshindwa halafu unipe mji...,si unajua mambo ya kitendawiliππ
sawa mkuu kuna msemo mwingine unasema "asiejua maana usimwambie maana"...acha nikae na ujinga wanguπHujui. Acha ujinga.
siwezi kujibu mtu fala kama wewe. Kamwambie Lissu atakujibu. Pimbi weweHahahaππ,kuna msemo unaosema "kama unamuona anaanza kutoa matusi ujue kuwa hawezi kupambana kwa hoja"...
Jibu swala nililo kuuliza halafu nitakwambia kwanini kiwanda cha Dangote hakina hadhi ya kuitwa "FDI" katika uekezaji hapa Tanzaniaπ
Mpelekee jibu mama yako au baba yako pimbi wewe. Kaa na ujinga wako. You are just another asso.sawa mkuu kuna msemo mwingine unasema "asiejua maana usimwambie maana"...acha nikae na ujinga wanguπ
Hahaha siasa tena Mkuu,mimi nilifikiria tunazungumzia "FDI"....mimi najitambua sio mtumwa wa siasa,hata huyo Lissu simjui,Magufuli ndio kabisa namsikia tu..siwezi kujibu mtu fala kama wewe. Kamwambie Lissu atakujibu. Pimbi wewe
hahahahaha mbavu zanguπππ,jibu niliyokuuliza kwanza!! matusi baadaeMpelekee jibu mama yako au baba yako pimbi wewe. Kaa na ujinga wako. You are just another asso.
Limetokea wimbi la vijana wa namna yake. Hawajui chochote wanapiga kelele tu.Mpelekee jibu mama yako au baba yako pimbi wewe. Kaa na ujinga wako. You are just another asso.
Oya usione kuwa tumekustahi ukajiona mwelevu. Hebu ondoa upumbavu wako hapa. Mbona unakuwa hujiheshimu. Kama unatafuta sifa tafuta kwenye mtaa wako. Ficha upumbavu wako. Tumekustahi hutaki kustahilika sasa hebu endelea sasa tukuingize kwenye king. Ondoa upumbavu wako tumekuelekeza FDI ni nini? Tumekuelekeza baadhi ya viwanda vilivyojengwa awamu ya tano. Tumekupatia report ya UN. Sasa unachotaka nini wewe mpumbavu!!? Usitake kutafuta sifa kwa watu wastaarabu. Nenda kwenye jukwaa la mahusiano ukapige porojo.hahahahaha mbavu zanguπππ,jibu niliyokuuliza kwanza!! matusi baadae
Kwikwikwikwikwikwikwi.Uteuzi wa mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu, wakurugezi na mabalozi kila kukicha ndio kipaumbele chetu.
Viwanda gani??kama unazunguzia Dangote,hicho kiwanda hakina sifa za "FDI",kiwanda cha saruji cha kichina ni "Proposal".,Bakharesa hayumo katika sifa za "FDI"Oya usione kuwa tumekustahi ukajiona mwelevu. Hebu ondoa upumbavu wako hapa. Mbona unakuwa hujiheshimu. Kama unatafuta sifa tafuta kwenye mtaa wako. Ficha upumbavu wako. Tumekustahi hutaki kustahilika sasa hebu endelea sasa tukuingize kwenye king. Ondoa upumbavu wako tumekuelekeza FDI ni nini? Tumekuelekeza baadhi ya viwanda vilivyojengwa awamu ya tano. Tumekupatia report ya UN. Sasa unachotaka nini wewe mpumbavu!!? Usitake kutafuta sifa kwa watu wastaarabu. Nenda kwenye jukwaa la mahusiano ukapige porojo.
Watu kamanyie ndotunatafuta kupoteza. Ngoja tujetukuonyeshe wewe pimbi. Endelea ku support ujinga wa Mange. Humu ulipokuja nisehemu mbaya. Bora ungebaki IGhahahahaha mbavu zanguπππ,jibu niliyokuuliza kwanza!! matusi baadae
Kuna thread moja naiona ina mabishano ya kipuuzi sana, Thread ya Nairobi v Dar, watanzania tunajifananisha na Kenya.Sisi tunataka kuua upinzani kwanza na kufungua viwanda vya cherehani hayo mengine baadaye sana