chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Hahaha😀😀,kuna msemo unaosema "kama unamuona anaanza kutoa matusi ujue kuwa hawezi kupambana kwa hoja"...Sema kama unajua pimbi wewe
Jibu swala nililo kuuliza halafu nitakwambia kwanini kiwanda cha Dangote hakina hadhi ya kuitwa "FDI" katika uekezaji hapa Tanzania😉