Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Na mimi narudia tena, wewe huna mamlaka ya kunipangua wapi pa kuandika kile ninachotaka kuandika.
Hii thread inahusu Tanzania. Na CCM ndiye chama tawala kinachopiga domo kuhusu viwanda. Kama hupendi ninachokiandika mzee, just ignore it. Unapoteza muda wako tu kuniambia ati hapa siyo mahala pake.
 
Kuwekeza Tanzania ni risk zaidi kuliko Kenya,Kwa kupata tu hizo vibali urasimu kila sehemu, purchasing power ya watu iko chini,kodi kubwa,hakuna UMEME wa uhakika, Sera hazitabiliki maamuzi ya siku unategemea na kiongozi kaamkaje Kwa maaumuzi hayo unaweza ukajikuta umeamka masikini, watu wamejenga viwanda vya mafuta ya kula kodi juu,sukari ya viwandani mara imezuiliwa hakuna kuagiza sukari nk,Mara tajiri Fulani yuko ndani Kwa chuki za kisiasa. Wanakimbilia Kenya sababu hakuna vikwazo hivo,pia katiba yao ni nzuri haimpi mtawala Madaraka makubwa kuburuza Sheria.
 
Nyinyi mnao comment nawaangalia tu halafu nasema hiiiii...
 
Yaani siasa hazina hata mwelekeo, lengo ni kuharibu taifa letu. Hawana lolote na tumeshawashitukia we are dealing with them seriously.
Kwann msideal na maendeleo hamuoni mkideal with them hamtawamaliza maana mnajitahidi kuwa silence lkn haileti tija still wengi wanazidi kuongea, mngepambana na maendeleo ili wakose vya kusema maana wananchi ni majaji.Zile nchi zenye viongozi wasio primitive huwa hawadili na watu wao wanadeal na maendeleo ili watu wakose cha kukosoa
 
Hiyo hapo juu ni comment yangu ya mwisho kukuelimisha. Kama huelewi basi. Wenye akili watakuwa wameshaelewa kuwa wewe ni mpuuzi fulani tu.
That gay. He is a product of a burst condom from a failed abortion. That gay thinks he has a better IQ to lecture us on FDI. Never ever give your knowledge to such fools. Some people were born for no reason. We need to eliminate them.
 
Mnazugulika na vitu visivo na tija lengo kumake headlines vyenye tija mko nyuma sana,wajengeeni wananchi uwezo wa kujitegemea,kama mnauwa private sector ambayo ndo engine ya ukuaji wa uchumi Kwa kukumbatia kila kitu eti kusomesha namba wakati hao mnaowasomesha no ndo mnategemea mpate kodi toka kwao,mnataka mpate maziwa hali hamtaki kuwanenepesha ng'ombe.
 

Ngoja nianze kukushighulikia hapa hapa nimeshaelewa lengo lako

Hana shida yoyote?
Kwa nini usisubiri uchaguzi ukatumia uhuru wako kuchagua unaye mtaka? Au kwanini usiende mahakamani ukashitaki kuliko kuchafua watu pasipo sababu.

Kwa hiyo ufisadi wake wa nyumba za serikali
Nakuona unatafuta kuchafua watu pasipo sababu. Hili swala tayari lilishaongelewa. Kuwa hayo yalikuwa ni makubaliano ya Serikali. Wakati huo Waziri mkuu alikuwa Sumaye.
Sumaye: "Akihojiwa na mwandishi wa habari ambaye sasa ni mbunge Saed Kubenea, waziri mkuu mstaafu aliyejiunga na upinzani alisema kuwa uuzwaji wa nyumba hizo ulifanywa kwa kuwa zilikuwa nyingi mno na serikali kushindwa kuzi 'maintain' katika ubora unaopaswa, na ulipata baraka za serikali na hakukuwa na mizengwe wala ufisadi wa aina yoyote."
Sikiliza hapa:


Furahisha petrol station, samaki wa Magufuli, na Sterling saga) hauna na hayana shida yoyote?
Naona umeamua kutafuta vitu ili uweze kuufurahisha moyo wako. Inaonekana moyo wako umejaa chuki unatafuta kila sababu ili uweze kumchafua rais wetu. Bahati mbaya unaongea ukiwa umejificha kwenye keyboard. Inaonesha ni namna gani ulivyo unavyotafuta kuchafua viongozi wa nchi yetu. Kwanini usiende mahakamani au ujitokeze uweke shauri hilo hadharani?

Nimekuwa nikisema humu, kwenye taifa lenye watu wanaojielewa, Magufuli alipaswa kuwa jela na siyo Ikulu.
Ona sasa unakorukia. Hivi kama siyo kuwastili tu viongozi wa vyama vya upinzani nani angebaki? Nani asiyejua ufisadi wa Lowassa, Nani asiyejua ifisadi wa Mbowe.
Ngoja tuanze sasa kukupatia baadhi ya mambo. Hawa wanasiasa wa upinzani na wataalamu sana wa kubwabwaja huku nyuma wakihujumu nchi hii.

Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF


Yaani kijana unachanganya changanya tu madesa hueleweki kitu gani unataka kuongelea. Zaidi ya kurukia rukia vitu bial hata kuonesha kitu gani unaongelea. Sasa hivi unarukia eti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajawahi kuongelea Azimio la Arusha!!. Hivi unajua tena kuna azimio la Zanzibar?
Hebu msikilize hapa Rais Magufuli akiongelea Azimio la Arusha

Kama nia yako ni kuhusu.
Halafu inaonesha unarukia rukia tu mada pasipokufanya utafiti

Sisi tutamuenzi Nyerere kwa vitendo -Magufuli


Hapo nimekupatia machache tu.
 
Wewe endelea kulia sisi wenye chama wembe ni ulele. Tanzania kuna chama kimoja tu CCM. Utake usitake tutakutawala. Ukileta uchoko inakula kwako.
 
Reactions: Oii
Mzee siwezi ku ignore lazima nikupige za kichwa nimeamua kukushughulikia hapa hapa. Tunamalizana hapa hapa.
Tumeshawajua nyie hamna hata direction lengo lenu ni kupiga kelele tu kama vyura.
 
Kikwete aliwahi kutana na wafanya biashara nakutatua kero zao kama anavyo fanya Magufuli ?? Private sector niipi unazungumzîa ??
 
Kikwete aliwahi kutana na wafanya biashara nakutatua kero zao kama anavyo fanya Magufuli ?? Private sector niipi unazungumzîa ??
Sana tu vingi tu,sekta binafsi na wajasiliamali hawa wanaofunga biashara zao sababu ya kodi kubwa,na kuacha bidhaa zao bandarini sababu ya ushuru Mkubwa usiolipika.
 
Sana tu vingi tu,sekta binafsi na wajasiliamali hawa wanaofunga biashara zao sababu ya kodi kubwa,na kuacha bidhaa zao bandarini sababu ya ushuru Mkubwa usiolipika.
Tatizo lenu vijana ni kupiga kelele tu pasipo evidences. Watulalio starabika wanabishana kwa hoja.
Hebu tembelea TZ Private Sector
TZ Private Sector (@tpsftz) | Twitter
 
Tatizo lenu vijana ni kupiga kelele tu pasipo evidences. Watulalio starabika wanabishana kwa hoja.
Hebu tembelea TZ Private Sector
TZ Private Sector (@tpsftz) | Twitter
Hakuna information au chapisho lolote linaloweza au lenye ubavu wa kuandika hali halisi,kila MTU anaogopa kutumbuliwa mifano hai ni mingi,Kwa walioleta utaalamu yamewakuta,hivo wengi ulinda ajira zao,wasiende kinyume. Sisi tunazungumzia hali halisi hatuzungumzii hayo machapisho hayana tofauti na Yale yasemayo uchumi unakuwa ili kumfurahisha mungu mtu hali,hali halisi haihitaji elimu ya uchumi.
 
Mwenzetu nadhani unachoweza ni kubwabwaja tu bila references. Hapa ninakupatia taarifa za kimataifa.
Wewe kazi yako ni kubwabwaja tu huna hata taarifa zozote.



 
Reactions: Oii
Tanzania investors wataongea nanyi lugha ipi?Si mtapigwa chenga kwenye drafting contracts hohoho,manake kiingereza kimeshawapiga chenga,huku kenya tumejanjaruka kwa ukwasi wa kujua kila neno la kiingereza na pia tuna ujanja mwingi kupindukia!
Wachina, wajapan, wakorea nk na wengineo mnaongea nao vipi wakati wao wanatumia lugha zao za ndani?.
 
Kwa nini usisubiri uchaguzi ukatumia uhuru wako kuchagua unaye mtaka? .

Bahati mbaya Tanzania hatuna uchaguzi. Tuna uchafuzi

Au kwanini usiende mahakamani ukashitaki kuliko kuchafua watu pasipo sababu.

Ala kumbe unafikiri haya ni maneno nimeyatoa kichwani mwangu?!?
Ufisadi wa Magufuli umesemwa kwenye CAG reports. Kuhusu nyumba, Dar Ferry na mikataba ya ujenzi wa barabara. Si umeona alivyoingia madarakani ile Ferry akaificha jeshini? Na alisema kabisa amefanya hivyo ili watu wasizungumzie tena suala la Dar Ferry, ambapo akiwa waziri Ferry used kutoka Bangladesh ilinunuliwa kwa bei ambayo ni zaidi ya Ferry mpya. Na akatuambia ati Ferry imetoka Denmark!! Kumbe Bangladesh kwenye junk yard ya old and used ships and ferries.

Kwa hiyo kama kumchafua huyo Just Praise Me, muulize CAG ndiye anajua.



Oh, kwa hiyo unataka kusema Cabinet haikujadili suala Richmond? I have never been a Lowassa's fan, lakini kama unamtetea Magufuli kwa hoja ya kwamba uuzaji wa nyumba ulikuwa ni uamuzi wa Cabinet, unaweza kuthibitisha kwamba suala la Richmond halikuamriwa na Cabinet?

Secondly, according to the CAG report, Magufuli aliuza nyumba kwa mdogo wake Mussa Magufuli na hawara yake, ambao hawakuwa wafanyakazi wa serikali, na wala walikuwa hawaishi kwenye nyumba za serikali. Na hili alilifanya licha ya directive hiyo ya Mkapa, ambayo Sumaye aliongelea.

Na mwisho, yaani kwa akili zako kabisa timamu (sijui kama ni timamu kweli) unaweka video ya kada wa CCM kama reference? Kwa hiyo ulitegemea Sumaye ndani ya hayo mauchafu ya kijani, aseme mbovu juu ya uuzwaji wa nyumba za serikali? Aisee, you are truly harebrained old man.


Kwa hiyo wewe unaongea ukiwa hujificho kwenye keyboard? Licha ya kuwa mpiga vigelegele, lakini huna guts za kuonyesha your true identity. Yes, mimi sina guts, kwani Tanzania sasa ipo chini ya maniac ambaye he is trigger-happy na ana killing squad. Hivyo, sitaki kufa kwa ajili ya watu wasiojielewa. Ila, nitaendelea kumkosoa na kuonyesha how phony Magufuli is, humu humu. If you don't like, stab yourself.

Na narudia tena, sijamchafua Magufuli. Natumia rejea za CAG reports, ambazo hazimchafui huyo cuckoo, ila zina mu-expose.

https://www.jamiiforums.com/threads/mbowe-ahusishwa-na-ufisadi-wa-kuimaliza-nssf.10852/

So what? Sasa mafisadi wanafanya nini mtaani? Kwa mawazo yako umeona umenipaaata, ukifikiri I am a dik rider like most of asilikaz wa wanasiasa. I don't give a dang kuhusu Lowassa ama Mbowe. But, what I know for sure, CAG Reports clearly showed namna Magufuli alivyo fisadi. And I do remember jinsi CCM walivyomtetea na kumlinda Lowassa wakati wapinzani walimsema ni fisadi.

So, pengine wewe ni kichwa kigumu. Lakini hoja yangu hapa ni kwamba neither Magufuli, Mkapa, Kikwete, Lowassa,Tibaijuka, Chenge nor Ngeleja are supposed to be freemen. You should all be rottin in prison.

Wahujumu uchumi hawapaswi kuwa huru. Mmefungua mahakama ya mafisadi kwa mbwembwe, lakini sasa inapigwa vumbi kwa kukosa wateja. List of shame inajulikana, lakini phony Magufuli can' use it, as he knows that he ain't clean too. Basi amewaacha nyiye wapiga vigelegele wake mbaki na singo ya "mapambano dhidi ya ufisadi na rushwa", ilhali mafisadi wanapewa uenyekiti wa Bunge (refer: Chenge) na watoa rushwa wanapata job promotion (refer: Mnyeti).



Naona pia una tatizo la comprehension. Niliyem-quote aliongelea Azimio la Arusha na miiko ya viongozi. Sasa nikasema huyu msanii Magufuli sijawahi kumsikia akisema juu ya hili. Na nikaenda mbele nikasema, kwa kuwa sasa ana madaraka, kwanini asirudishe Azimio na miiko? Kwenye hiyo video, jamaa kafanya usanii wake kwa kugeneralise mambo tu.

Kusema ni rahisi kuliko kutenda. Ndiyo maana hadi leo CCM imeshindwa kuondoa umaskini licha ya miaka zaidi ya 56 ya kusema juu ya kuondoa umaskini.

Na ukiangalia sasa huyo mtu na serikali yake inayosema inamuenzi Nyerere kwa vitendo ni vituko vitupu. Rais na serikali iliyojitoa kwenye OGP, Rais na serikali yake wanakuwa ndiyo wavunja Katiba na sheria namba moja. Yaani serikali hii na Magufuli are above the law. Magufuli is the law. A typical dictator-like kama alivyowahi kusema huyo Magufuli anayemuenzi kwa vitendo.
 
Wewe endelea kulia sisi wenye chama wembe ni ulele. Tanzania kuna chama kimoja tu CCM. Utake usitake tutakutawala. Ukileta uchoko inakula kwako.
Oh, what a revelation! Now wipe your tears; and write again without crying.
 
Rafiki yangu upo na uhuru wa kuongea. Lakini kumwita Rais wetu tuliyemchagua kwa uchaguzi halali majina ya kumdhalilisha haikubaliki.

Wewe toa hoja zako tu tutazisikiliza kama zinafaa wahusika watazifanyia kazi.

Bahati mbaya Tanzania hatuna uchaguzi. Tuna uchafuzi
Hapa tunaongea na mtu aliyekata tamaa. Kwahiyo mtu aliyekata tamaa na mzembe atatafuta kila sababu ya kuwalaumu wengine. Sasa mnapiga kelele za nini na vyama vyenu vya siasa? Hii inaona ni namba gani mlivyo na ndimi mbili. Kama mnaona hakuna uchaguzi wa haki basi achaneni na vyama vya siasa. Je, tukiwaita wasanii mnaotumiwa na wenyenia mbaya na nchi yetu tutakuwa tumekosea?

Ona sasa unakoanza kukimbilia. Sasa umeanza kutoa porojo na urojo. Maneno unayoyaandika hapa tunaita Conspiracy theory. Unachukua matukio na kuunganisha ili kuleta stori. Hakuna fact yoyote katika maelezo uliyoyatoa hapa. Ninasubiri facts katika hili. Zaidi sana ni porojo za BAVICHA kutaka kuwadanganya watu.

Halafu unakuja tena kuongelea mikata ya barabara. Yaani unakuwa hueleweki kijana. Unaruka ruka tu huejngi hata hoja. Kwanini usiwe specific? Mkataba wa barabara upi unaouongelea hapa. Kipindi Rais wetu akiwa waziri barabara nyingi mno zimejengwa. Sasa kukurupuka tu na kuongea eti mikataba ya barabara ni ufinyu wa kuwanza. Be objective kama unataka kuwasilisha dukuduku lako. La sivyo utaonekana mpayukaji fulani.


Ona sasa ulivyo very weak. Tayari hapa umeonesha chuki kwa Rais wetu. Eti unasema ninamtetea Rais wetu!!! Hapa mimi ninaongea facts. Hata kama ingekuwa ni wewe, mimi ni mtu wa facts. Hizo porojo zenu hazina mashiko. Maelezo yalitolewa na aliyekuwa waziri mkuu wakati huo na wala siyo mimi.

Ona tena unarukia masuala ya Richmond. Unaonekana unahaha sana kutafuta namna. Wale waliosema masuala ya Richmond ni hao hao CHADEMA & Company. Walipigia kelele wao kuwa Lowassa ni fisadi. Cha kushangaza hao hao wanamuweka Lowassa kuwa mgombea wao wa urais. Ni namna gani mlivyo wapuuzi. Sitaki niongee zaidi kuhusu jambo hili.


Yaani mwenzetu unahaha kweli. Je, upo na evidences ya jambo hili? Au unajaribu tu kuongea? Naona unamachungu sana baada ya biashara zenu kuzuiliwa. Unatafuta kila namna kuweza kumchafua rais wetu. Bahati mbaya kabisa huna uwezo huo. Umeshachelewa sisi tupo wazalendo tutapambana na wewe humu humu.
Hizi tuhuma unazozitoa ni nzito kweli. Kwanini usiende kufungua shauri mahakamani? Au kwanini wakati akiwa waziri msinge fungua shauri hilo? Maana ni miaka mingi mno. Yaani kipindi cha Mkapa mpaka leo hii ni zaidi ya miaka 20. In short kijana jaribu kuwa smart. kama mmekosa jambo la kufanya kwenye siasa achaneni na siasa hamziwezi. Mtabaki kulia lia kwenye mitandao, huku sisi tunasonga mbele. Mwisho wa siku mtachoka na kuzeeka bila kufanya lolote.

Kijana CCM ni kubwa mno, CCM ndiyo serikali ya TZ kijana.


Naona hueleweki hata unachotetea kijana. Unaruka ruka na kuandika tu ilimladi liende. Hivi kwa mawazo yako wewe binafsi ndiye unayejua kuthumu na kuhukumu siyo? Yaani wewe unaakili kuliko watanzania wote siyo? Au wewe unataarifa za uhakika kuliko wote. Maana hueleweki sasa.

Nakushauri ungombee urais 2020 ili wewe uwe rais na uweze kuwafunga. Unapojifanya unajua hapo ndipo mwanzo wa wengine kujua. Ninakuhakikishia hujui chochote, wewe ni debe tupu tu. Baada ya kusoma hekaya zako hizi nimekuona ni mwandishi wa hekaya mzuri.


Baada ya kujua wewe unachuki na Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maelezo yako yote yamejaa chuki na siyo facts. Baada ya kukuonesha kuwa upo outdated umekuja na ngojera zingine. Unachoweza ni kutaja taja vitu mara diktator, mara hili mara hili. Hivi unaijua katiba ya Tanzania wewe? Au unaropoka tu nyuma ya keyboard.
Rais anatimiza majukumu yake kikatiba. Rais ni taasisi.
1. Rais ni Mkuu wa nchi
2. Rais ni Kiongozi wa Serikali
3. Rais ni Amiri Jeshi Mkuu.

Rais kama mkuu wa nchi
Mihimili yote ya dora ipo chini yake.

Rais kama Kiongozi wa Serikali
Serikali na vyombo vyake vyote vikochini yake.

Rais kama Amri Jeshi Mkuu
Yeye ndiye mkuu wa majeshi yote ya Ulinzi na Usalama

Kwahiyo unapoongelea Rais kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, akiamua kutumia mamlaka aliyopewa kikatiba wewe hapa usingekuwa una payuka payuka kama umelewa dona hapa. Rais akiamua leo wewe utiwe ndani. Ndani ya saa fulani utakuwa upo nchini ya usalama. Uhuru unaopewa na kuutumia kwenye mitandao umeambatana na wajibu.

Jielewe ndugu siyo kuropoka ropoka tu vitu usivyovijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…