Kwa nini usisubiri uchaguzi ukatumia uhuru wako kuchagua unaye mtaka? .
Bahati mbaya Tanzania hatuna uchaguzi. Tuna uchafuzi
Au kwanini usiende mahakamani ukashitaki kuliko kuchafua watu pasipo sababu.
Ala kumbe unafikiri haya ni maneno nimeyatoa kichwani mwangu?!?
Ufisadi wa Magufuli umesemwa kwenye CAG reports. Kuhusu nyumba, Dar Ferry na mikataba ya ujenzi wa barabara. Si umeona alivyoingia madarakani ile Ferry akaificha jeshini? Na alisema kabisa amefanya hivyo ili watu wasizungumzie tena suala la Dar Ferry, ambapo akiwa waziri Ferry used kutoka Bangladesh ilinunuliwa kwa bei ambayo ni zaidi ya Ferry mpya. Na akatuambia ati Ferry imetoka Denmark!! Kumbe Bangladesh kwenye junk yard ya old and used ships and ferries.
Kwa hiyo kama kumchafua huyo Just Praise Me, muulize CAG ndiye anajua.
Nakuona unatafuta kuchafua watu pasipo sababu. Hili swala tayari lilishaongelewa. Kuwa hayo yalikuwa ni makubaliano ya Serikali. Wakati huo Waziri mkuu alikuwa Sumaye.
Sumaye: "Akihojiwa na mwandishi wa habari ambaye sasa ni mbunge Saed Kubenea, waziri mkuu mstaafu aliyejiunga na upinzani alisema kuwa uuzwaji wa nyumba hizo ulifanywa kwa kuwa zilikuwa nyingi mno na serikali kushindwa kuzi 'maintain' katika ubora unaopaswa, na ulipata baraka za serikali na hakukuwa na mizengwe wala ufisadi wa aina yoyote."
Sikiliza hapa:
Oh, kwa hiyo unataka kusema Cabinet haikujadili suala Richmond? I have never been a Lowassa's fan, lakini kama unamtetea Magufuli kwa hoja ya kwamba uuzaji wa nyumba ulikuwa ni uamuzi wa Cabinet, unaweza kuthibitisha kwamba suala la Richmond halikuamriwa na Cabinet?
Secondly, according to the CAG report, Magufuli aliuza nyumba kwa mdogo wake Mussa Magufuli na hawara yake, ambao hawakuwa wafanyakazi wa serikali, na wala walikuwa hawaishi kwenye nyumba za serikali. Na hili alilifanya licha ya directive hiyo ya Mkapa, ambayo Sumaye aliongelea.
Na mwisho, yaani kwa akili zako kabisa timamu (sijui kama ni timamu kweli) unaweka video ya kada wa CCM kama reference? Kwa hiyo ulitegemea Sumaye ndani ya hayo mauchafu ya kijani, aseme mbovu juu ya uuzwaji wa nyumba za serikali? Aisee, you are truly harebrained old man.
Naona umeamua kutafuta vitu ili uweze kuufurahisha moyo wako. Inaonekana moyo wako umejaa chuki unatafuta kila sababu ili uweze kumchafua rais wetu. Bahati mbaya unaongea ukiwa umejificha kwenye keyboard. Inaonesha ni namna gani ulivyo unavyotafuta kuchafua viongozi wa nchi yetu. Kwanini usiende mahakamani au ujitokeze uweke shauri hilo hadharani?
Kwa hiyo wewe unaongea ukiwa hujificho kwenye keyboard? Licha ya kuwa mpiga vigelegele, lakini huna guts za kuonyesha your true identity. Yes, mimi sina guts, kwani Tanzania sasa ipo chini ya maniac ambaye he is trigger-happy na ana killing squad. Hivyo, sitaki kufa kwa ajili ya watu wasiojielewa. Ila, nitaendelea kumkosoa na kuonyesha how phony Magufuli is, humu humu. If you don't like, stab yourself.
Na narudia tena, sijamchafua Magufuli. Natumia rejea za CAG reports, ambazo hazimchafui huyo cuckoo, ila zina mu-expose.
Ona sasa unakorukia. Hivi kama siyo kuwastili tu viongozi wa vyama vya upinzani nani angebaki? Nani asiyejua ufisadi wa Lowassa, Nani asiyejua ifisadi wa Mbowe.
Ngoja tuanze sasa kukupatia baadhi ya mambo. Hawa wanasiasa wa upinzani na wataalamu sana wa kubwabwaja huku nyuma wakihujumu nchi hii.
View attachment 738391
Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF
https://www.jamiiforums.com/threads/mbowe-ahusishwa-na-ufisadi-wa-kuimaliza-nssf.10852/
So what? Sasa mafisadi wanafanya nini mtaani? Kwa mawazo yako umeona umenipaaata, ukifikiri I am a dik rider like most of asilikaz wa wanasiasa. I don't give a dang kuhusu Lowassa ama Mbowe. But, what I know for sure, CAG Reports clearly showed namna Magufuli alivyo fisadi. And I do remember jinsi CCM walivyomtetea na kumlinda Lowassa wakati wapinzani walimsema ni fisadi.
So, pengine wewe ni kichwa kigumu. Lakini hoja yangu hapa ni kwamba neither Magufuli, Mkapa, Kikwete, Lowassa,Tibaijuka, Chenge nor Ngeleja are supposed to be freemen. You should all be rottin in prison.
Wahujumu uchumi hawapaswi kuwa huru. Mmefungua mahakama ya mafisadi kwa mbwembwe, lakini sasa inapigwa vumbi kwa kukosa wateja. List of shame inajulikana, lakini phony Magufuli can' use it, as he knows that he ain't clean too. Basi amewaacha nyiye wapiga vigelegele wake mbaki na singo ya "mapambano dhidi ya ufisadi na rushwa", ilhali mafisadi wanapewa uenyekiti wa Bunge (refer: Chenge) na watoa rushwa wanapata job promotion (refer: Mnyeti).
Yaani kijana unachanganya changanya tu madesa hueleweki kitu gani unataka kuongelea. Zaidi ya kurukia rukia vitu bial hata kuonesha kitu gani unaongelea. Sasa hivi unarukia eti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajawahi kuongelea Azimio la Arusha!!. Hivi unajua tena kuna azimio la Zanzibar?
Hebu msikilize hapa Rais Magufuli akiongelea Azimio la Arusha
Kama nia yako ni kuhusu.
Halafu inaonesha unarukia rukia tu mada pasipokufanya utafiti
View attachment 738396
Sisi tutamuenzi Nyerere kwa vitendo -Magufuli tu.
Naona pia una tatizo la comprehension. Niliyem-quote aliongelea Azimio la Arusha na miiko ya viongozi. Sasa nikasema huyu msanii Magufuli sijawahi kumsikia akisema juu ya hili. Na nikaenda mbele nikasema, kwa kuwa sasa ana madaraka, kwanini asirudishe Azimio na miiko? Kwenye hiyo video, jamaa kafanya usanii wake kwa kugeneralise mambo tu.
Kusema ni rahisi kuliko kutenda. Ndiyo maana hadi leo CCM imeshindwa kuondoa umaskini licha ya miaka zaidi ya 56 ya kusema juu ya kuondoa umaskini.
Na ukiangalia sasa huyo mtu na serikali yake inayosema inamuenzi Nyerere kwa vitendo ni vituko vitupu. Rais na serikali iliyojitoa kwenye OGP, Rais na serikali yake wanakuwa ndiyo wavunja Katiba na sheria namba moja. Yaani serikali hii na Magufuli are above the law. Magufuli is the law. A typical dictator-like kama alivyowahi kusema huyo Magufuli anayemuenzi kwa vitendo.