Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Nasi tunaongea nao swanglish interplanetary language
Tunaongea Sheng. International language.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongea Sheng. International language.
Vilaza mko wengi, kweli Ndalichako ana kazi.Sio wanajenga,walishamalizaga hayo mambo ya viwanda.keshokutwA utawasikia wanaunda Nuclear.
Inabidi kwanza ujue nini maana halisi ya "FDI",Dangonte ndio ni private firm which came to Tanzania with capital to invest,Aisee kama ni hivyo mimi sioni haja ya kuendelea na mjadala na wewe. Yaani Dangote Cement si FDI?? A private firm which came in the country with the capital to invest in cement industry!!?? Duu ngoja nikuache.
Hicho ni kitu kizuri mkuu,lakini itategemea hao wachina wanataka kuwekeza vipi Tanzania,unajua mkuu matatizo yetu waafrika ni rahisi sana kuwa ""sell out,kwasababu uko china ndio unaona wachina ndio watakuwa waokozi wa Tanzania,..Hujui kitu kuhusu Investment records za Tanzania ,kwa kukusaidia nenda TIC
Na kukujuza zaidi Leo na kuendelea tuko China kwenye mkutano na matajiri Wa China kuhusu uwekezaji Tanzania na wengi wamekubali kuja kuwekeza kwenye ,viwanda vya processing na madawa baridi
Just wait and see , Soon Tanzania will shake the World
Your stupid. Usitake kujiaibisha hapa fara wewe.Inabidi kwanza ujue nini maana halisi ya "FDI",Dangonte ndio ni private firm which came to Tanzania with capital to invest,
Je sasa nikuulize kama kampuni imekuja na pesa kutaka ku invest Tanzania ndio kigezo cha "FDI"?? nafikiri fungua vitabu vyako usome ufahamu nini maana ya "foreign Direct investment"...
Matatizo yetu watazania ni wavivu wak usoma,wavivu wa kufanya utafiti,tunapenda kukukurupuka na kurukia mambo na kujifanya tunajua
kama unataka kujua nini maana halisi ya FDI sema nikufahamishe...!? waswahili wanasema "kuuliza sio ujinga"
wasahili wanasema "ukiona mtu anaanza kujibu hoja kwa matusi ujue kashindwa hoja",unakiwa kwanza uje nini maana ya FDI,kama umeshindwa kujua maana sema uambiwe maan, kuna msemo mwengine wa kiswahili unasema "kuuliza sio ujinga"..Your stupid. Usitake kujiaibisha hapa fara wewe.
Huna hata cha maana. Ficha upumbavu wako hapa
Tanzania leads regional peers in foreign direct investment
Nimekueleza hujui chochote usitaka kujipendekeza. Wewe ni kichwa tupu.wasahili wanasema "ukiona mtu anaanza kujibu hoja kwa matusi ujue kashindwa hoja",unakiwa kwanza uje nini maana ya FDI,kama umeshindwa kujua maana sema uambiwe maan, kuna msemo mwengine wa kiswahili unasema "kuuliza sio ujinga"..
Lakini bado nasisitie kuwa hicho kiwanda kimoja cha Dangonte mnachokisifia ndio FDI hakina sifa ya FDI,pili kiwanda chenyewe kinashindwa hata kuzalisha kitokana na urasimu wenu,Dangote mwenyewe kumuonya Magufuli kuhusu mbinu zake anazotumia kwa wawekezaji wa Tanzania..
😀😀😀😀 hahahaa mbavu zangu,Mkuu nipe mfano wa viwanda vya FDI vilivyoko Tanzania..😀Nimekueleza hujui chochote usitaka kujipendekeza. Wewe ni kichwa tupu.
Matendo yamebaki Kitandani tu.Kwa vile awamu hii imejipambanua kwa sera ya viwanda, nilitegemea kuona serikali ya Tanzania ikiwawezesha wawekezaji wa ndani na wa nje kuanzisha viwanda vya aina hii.
Pamoja na vurugu zao wenzetu wakenya wameweza vipi, kwa nini sisi tuendelee kujidanganya na kuwadanganya wananchi kuwa ukiwa na vyerehani vinne ndiyo maendeleo ya viwanda.
View attachment 738075 View attachment 738076 View attachment 738077 View attachment 738078 View attachment 738079
Mkuu, baadhi ya Comments zako nyingi humu sikubaliani nazo,Hicho ni kitu kizuri mkuu,lakini itategemea hao wachina wanataka kuwekeza vipi Tanzania,unajua mkuu matatizo yetu waafrika ni rahisi sana kuwa ""sell out,kwasababu uko china ndio unaona wachina ndio watakuwa waokozi wa Tanzania,..
Wachina ni wafanya biasahra kama wafanya biashara wengine,faida ndio kitu kikubwa anachokiangalia mfanya biashara,kama mikataba itakuwa mibovu wachina wanaweza kuchukua nchi yote na wakakuachieni jangwa..,nchi bila ya raslimali bila ya miti,bila ya maji..
Someni kwa warabu vipi wamewatajirisha raia wao,someni vipi wanafunga mikataba na kampuni za nje,huu sio wakati wa kujisifia uko china ni wakati wakujisifia umefunaga mikataba gani na kampuni za kichina kuinufaisha Tanzania,tafakari
Kitu kimoja cha kukuhakikishia Tanzania imeabdilika sanaHicho ni kitu kizuri mkuu,lakini itategemea hao wachina wanataka kuwekeza vipi Tanzania,unajua mkuu matatizo yetu waafrika ni rahisi sana kuwa ""sell out,kwasababu uko china ndio unaona wachina ndio watakuwa waokozi wa Tanzania,..
Wachina ni wafanya biasahra kama wafanya biashara wengine,faida ndio kitu kikubwa anachokiangalia mfanya biashara,kama mikataba itakuwa mibovu wachina wanaweza kuchukua nchi yote na wakakuachieni jangwa..,nchi bila ya raslimali bila ya miti,bila ya maji..
Someni kwa warabu vipi wamewatajirisha raia wao,someni vipi wanafunga mikataba na kampuni za nje,huu sio wakati wa kujisifia uko china ni wakati wakujisifia umefunaga mikataba gani na kampuni za kichina kuinufaisha Tanzania,tafakari
Sio lazima tukubaliane na kila kitu,Mkuu,kupingana ndio njia moja ya kuleta uelewano,ndio maana nchi za wenzetu wanatatua matatizo yao kwa makongamano(debate),kutokana na mawazo ya watu wengi wenye mawazo tafauti ndio unaweza kupata "solution" ya kudumu....Mkuu, baadhi ya Comments zako nyingi humu sikubaliani nazo,
Jamaa wamekupa hadi evidence kuwa Tanzania is leading the region in FDI, Unatumia feelings zaidi ya facts,
Lakini kuna kitu umeongea kwa huyo jamaa aliyeko China kwa kutumia kodi zetu sijui kama atakuelewa,
Binafsi sifurahishwi na namna hii Sera ya Viwanda inatekelezwa, We are now opening the doors to everyone probably without any precautions, Kitu pekee watz wanatakiwa kuelewa ni Kuwa China is in Africa for China, and so are the Europeans and the Americans, We must decide wisely kwenye haya mambo,
Ukienda pale EPZ ya Ubungo External, au pale Dangote plant Mtwara kaongee na wale employees wazawa mzee utatamani ulie,
Wanasiasa wanatuingiza mkenge tena aisee,
Trust me, hii Sera ya Viwanda ingelenga zaidi kutoa ujuzi na kuwawezesha wazalishaji wadogowadogo wazawa ingekuwa na impact kubwa kuliko hivi sasa, Tuna raw materials kwa nini tunakurupuka namna hii, mtu anatumia pesa za poor taxpayers kuzurula China kuwaalika waje kutuprocessia mahindi na nyanya huu ni uzwazwa, can't we do this??
Ni gharama kiasi gani inahitajika kufungua kiwanda cha furniture au karatasi kule Mufindi au Kiwanda cha kutengeneza viatu na Kushona Matisheti na Mashati serikali inashindwa kufund hadi tukalete wachina?
For sure, Kuna baadhi ya Uwekezaji ambao tunahitaji wawekezaji wenye experience, technology na mitaji mikubwa probably toka nje, like Oil and Gas n.k lakini sio hivi vya matunda sijui nini jamaa wanazindua daily,this sucks kwa kweli.
Inabidi kwanza ujue nini maana halisi ya "FDI",Dangonte ndio ni private firm which came to Tanzania with capital to invest,
Je sasa nikuulize kama kampuni imekuja na pesa kutaka ku invest Tanzania ndio kigezo cha "FDI"?? nafikiri fungua vitabu vyako usome ufahamu nini maana ya "foreign Direct investment"...
Matatizo yetu watazania ni wavivu wak usoma,wavivu wa kufanya utafiti,tunapenda kukukurupuka na kurukia mambo na kujifanya tunajua
kama unataka kujua nini maana halisi ya FDI sema nikufahamishe...!? waswahili wanasema "kuuliza sio ujinga"
BREAKING DOWN 'Foreign Direct Investment - FDI'
Foreign direct investments are commonly made in open economies that offer a skilled workforce and above-average growth prospects for the investor, as opposed to tightly regulated economies. Foreign direct investment frequently involves more than just a capital investment. It may include provisions of management or technology as well. The key feature of foreign direct investment is that it is an investment made that establishes either effective control of, or at least substantial influence over, the decision-making of a foreign business.
The Bureau of Economic Analysis (BEA), which tracks expenditures by foreign direct investors into U.S. businesses, reported total FDI into U.S. businesses of $373.4 billion in 2016, marking a 15% decrease from the prior year. As per usual, acquisitions made up the overwhelming majority of new foreign direct investments into the U.S., totaling $365.7 billion. Meanwhile, greenfield investments, a type of FDI defined by the BEA as investments to either establish a new business or to expand an existing foreign-owned business, comprised a much lighter $7.7 billion.
Read more: Foreign Direct Investment (FDI) Foreign Direct Investment - FDI
Follow us: Investopedia on Facebook
Foreign Direct Investment - FDI
Umefahamu kilichoandikwa hapo...,au ume google copy and paste...,bado hii "article" yako haijaeleza nini "FDI",imeleza "financial aspect ya "FDI" tu"...BREAKING DOWN 'Foreign Direct Investment - FDI'
Foreign direct investments are commonly made in open economies that offer a skilled workforce and above-average growth prospects for the investor, as opposed to tightly regulated economies. Foreign direct investment frequently involves more than just a capital investment. It may include provisions of management or technology as well. The key feature of foreign direct investment is that it is an investment made that establishes either effective control of, or at least substantial influence over, the decision-making of a foreign business.
The Bureau of Economic Analysis (BEA), which tracks expenditures by foreign direct investors into U.S. businesses, reported total FDI into U.S. businesses of $373.4 billion in 2016, marking a 15% decrease from the prior year. As per usual, acquisitions made up the overwhelming majority of new foreign direct investments into the U.S., totaling $365.7 billion. Meanwhile, greenfield investments, a type of FDI defined by the BEA as investments to either establish a new business or to expand an existing foreign-owned business, comprised a much lighter $7.7 billion.
Read more: Foreign Direct Investment (FDI) Foreign Direct Investment - FDI
Follow us: Investopedia on Facebook
Foreign Direct Investment - FDI
Aisee dah, una akili nyingi sana bro, wenzako hawakuelewi kabisaa..st kayumbazz taaabu!!![emoji382]Umefahamu kilichoandikwa hapo...,au ume google copy and paste...,bado hii "article" yako haijaeleza nini "FDI",imeleza "financial aspect "FDI" tu"...
Kuna post humu nimemjibu Game over kwa makini nini "FDI" na vipi inafanya kazi katika nchi husika...
Teh teh! Did I hurt your feelings? Write that again without crying.You're writing nonsense
No any Empiricism in you're argument rather than toilet words
Kwa hiyo kwa akili timamu (sidhani kama ni timamu), vitu hivyo viwili vinaweza kutengeneshwa? No wonder mna maniac of a president ambaye anasema yeye siyo mwanasiasa. Na fools like you mnapiga vigelelege.Ongea facts sio maneno ya mtaani ,tatizo unachanga siasa na Policy ya Tanzania ya viwanda?
Mkuu nimeona kama una matatizo ya kufahamu kingereza hii link uliyoweka ->"Foreign Direct Investment - FDI" inaeleza habari zote kuhusu "FDI",..BREAKING DOWN 'Foreign Direct Investment - FDI'