Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Kwenye list of shame mbona hakuwepo??
Halafu yule mwenye theluji kichwani alivyoingia kwenu cdm ndiyo akawa malaika.

Kwa hiyo list of shame ndiyo authority ya ufisadi Tanzania?

Tatizo lenu nyiye zombies mnafikiri kila anayemkosoa Magufuli na CCM yake ni CHADEMA. Mimi ni 'jeshi la mtu mmoja'. Nimesema sana humu kwamba Lowassa, Magufuli, Kikwete, Mkapa, Chenge, Tibaijuka, Ngeleja na CCM crooks wengine, wanastahili kuwa jela.

Ni ajabu mna mahakama ya mafisadi, lakini mmeshindwa kumfikisha Lowassa mahakamani!! Kwenye kampeni Magufuli alisema mahakama hiyo ni kwa ajili ya kuyashughulikia mafisadi. Ajabu, mahakama inapigwa vumbi tu, miaka 3 sasa inaelekea.

Ajabu jingine, nyiye mazombie wa CCM mliipinga hiyo list of shame na kuwatetea mafisadi waliotajwa. Hadi Kikwete akampigia kampeni Lowassa, akisema Richmond ni ajali ya kisiasa tu. Wapinzani walipotaka hatua zaidi za kisheria zichukuliwe dhidi ya Lowassa, CCM mkasema kujiuzulu kwake ni adhabu tosha. Yaani CCM, licha ya kuwa zalisho la mafisadi, pia ni kingo la mafisadi pia. Si unaona mmempa fisadi Chenge uenyekiti wa Bunge!! Ukiwa CCM, siyo fisadi, ukitoka unaitwa fisadi.
 
1. Kiwanda cha Goodwill cha ceramic cha vigae. Largest ceramia factory in East Africa.
2. Kiwanda cha TwyFord cha ceramic cha vigae Chalinze
3. Kiwila steel cha chuma and largest in East Africa.
4. Kiwanda cha kleesoft cha detergents Chalinze
5. Kiwanda cha Vegea. Viwanda ni vingi sana
Haya, hivi vitano, vimebaki 2995, vingine, tupeni mrejesho
 
Hiyo hapo juu ni comment yangu ya mwisho kukuelimisha. Kama huelewi basi. Wenye akili watakuwa wameshaelewa kuwa wewe ni mpuuzi fulani tu.
Kama walivyo wapuuzi wenzio wa lumumba wanaokulisha.
 
Ndiyo, CCM naijua. Si ndicho chama pekee kilichotawala taifa hili toka Uhuru? Ndicho chama ambacho kimeshindwa hata kukamilisha jambo kwa mafanikio ya asilimia 100. Chama kinacholinda na kulea mafisadi na majizi. Chama ambacho kilimchagua fisadi na mtu aliyetia taifa hasara mara kadhaa, mtu huyo sasa yupo Ikulu.

Oh! Kwa hiyo kumbe tatizo la CCM lilikuwa uwepo wa Hamad na Lowassa tu? Hawa watu kwanini hawajafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu nchi? Si Magufuli alifungua Mahakama maalum ya ufisadi? Sasa Mahakama inakula vumbi tu, huku wapiga vigelegele wake mkibaki na singo iliyochuja ya mapambano ya ufisadi.

Wahujumu wa nchi hii kwanini wanatokea CCM tu? Ina maana CCM ni zalisho la wahujumu uchumi? Leo Magufuli anatuambia tuwaache wahujumu wastaafu wapumzike. Huku mhujumu mmoja akipewa uenyekiti wa Bunge! Wengine wakipewa promotions.

Nimeuliza, kama ndivyo unavyoamini, sasa why does CCM take credits for Uhuru and everything tha happened before 1977?

Pengine, hufahamu majukumu ya vyama vya siasa, haswa vya upinzani. Hivyo, kama huelewi, of course utakuwa na matarajio ambayo yapo unfounded.

Mtatiro juzi kasema, CCM mnaelewa polepole mno. Wapinzani walikuwa mstari wa mbele kupinga namna ubinafsishaji ulivyofanyika. Wapinzani waliishauri serikali ya CCM namna sheria, kanuni na mikataba ya madini ilivyo ya hovyo. Walii-question serikali ya CCM kwa mawaziri kusaini mikataba nje ya nchi. Leo Magufuli analialia juu ya nchi kuchezewa na kuibiwa sijui, wapiga vigelegele mna-go maniac. MNAELEWA POLEPOLE MNO.

Sentensi ya kwanza kwenye jibu langu hapo juu, inahusika pia na hapa. Na kama ilivyo kwa harebrained wa CCM, yeyote anayesema kinyume na wanachotaka kukisikia, basi anakuwa categorised kama BAVICHA!! Typical CCMish.

Nikikuuliza adui wa nchi yetu ni nani utakuwa na jibu?
Kama wewe huoni jinsi unavyotumika na adui wa nchi yetu, nakuonea huruma.

Oh yes, hili ni moja ya jambo ambalo CCM imefanikiwa kwa asilimia 100: kuzalisha ma-hopeless na wajinga.

Jiamini ndugu. Huwezi ku-own hicho unachonijibu mpaka ujifanye una mtu au watu nyuma yako?

Way to go, naona kuna amani kweli: mpaka rais wa nchi analindwa na watu walioshika silaha za kivita popote anapokuwa kwenye hadhara.

Of course, I can see you know more than the way I think. That's why I know why Tanzania is still extremely poor. As CCM and its fanatics know more on how to ripp off this country than the way I think. Well done old man.
Mkuu, sikufahamu wala haunifahamu ila nakuomba kitu kimoja.

Jitahidi usipoteze muda kumjibu huyo takataka wa ccm, ukimuona mtu anaitetea hii serikali na hiki chama ujue ana maslahi nacho, mbali na hapo atakuwa ni mwendawazimu kutupwaaaaaaa, yaani hata chembe ya akili hana.

Heri punda ukimbebesha mzigo mzito anainama chini kuliko wanachama wa ccm, wamezidiwa hata na punda kung'amua kipi chema na kipi sio chema.
 
Hana shida yoyote? Kwa hiyo ufisadi wake wa nyumba za serikali, DSM Ferry, mikataba ya ujenzi wa barabara, na maamuzi yake yaliyolitia hasara taifa (Furahisha petrol station, samaki wa Magufuli, na Sterling saga) hauna na hayana shida yoyote?

Nimekuwa nikisema humu, kwenye taifa lenye watu wanaojielewa, Magufuli alipaswa kuwa jela na siyo Ikulu.

Ati hana kosa lolote. Kwa yeye kuwa CCM, na kukubali mabadiliko hayo, kunamfanya naye awe sehemu ya tatizo. Maana sijawahi kumsikia akisema hadharani kwamba hakubaliana na mabadiliko hayo (kabla ya urais). Na wala sasa sijamsikia hata akiongelea suala la Azimio la Arusha na miiko ya viongozi. If he is genuine, sasa si ana power ya kulipa taifa muelekeo? Lakini anafanya nini: ameamua kuwa above the law, na kufanya mambo gizani (kujitoa OGP) ili wananchi tusifahamu. Sasa hiyo miiko ya viongozi itapatikanaje kama mambo yanafanyika gizani?
Anasema misingi ilihribika baada ya Azimio la Arusha kuvunjwa, simply means kwamba akina Mwinyi, Mkapa n.k ndio waliopelekea tufike hapa. Amejisahaulisha kuwa Magufuli alisema tuwaacha wastaafu wapumzike.

Hovyo kabisa hii nchi.
 
.
IMG-20180408-WA0007.jpg
 
Lusinde kasema tuongeze kiwanda cha salun maana kinapendezesha watu. So cherahan na salun vyote viwanda.
 
Kwa hiyo list of shame ndiyo authority ya ufisadi Tanzania?

Tatizo lenu nyiye zombies mnafikiri kila anayemkosoa Magufuli na CCM yake ni CHADEMA. Mimi ni 'jeshi la mtu mmoja'. Nimesema sana humu kwamba Lowassa, Magufuli, Kikwete, Mkapa, Chenge, Tibaijuka, Ngeleja na CCM crooks wengine, wanastahili kuwa jela.

Ni ajabu mna mahakama ya mafisadi, lakini mmeshindwa kumfikisha Lowassa mahakamani!! Kwenye kampeni Magufuli alisema mahakama hiyo ni kwa ajili ya kuyashughulikia mafisadi. Ajabu, mahakama inapigwa vumbi tu, miaka 3 sasa inaelekea.

Ajabu jingine, nyiye mazombie wa CCM mliipinga hiyo list of shame na kuwatetea mafisadi waliotajwa. Hadi Kikwete akampigia kampeni Lowassa, akisema Richmond ni ajali ya kisiasa tu. Wapinzani walipotaka hatua zaidi za kisheria zichukuliwe dhidi ya Lowassa, CCM mkasema kujiuzulu kwake ni adhabu tosha. Yaani CCM, licha ya kuwa zalisho la mafisadi, pia ni kingo la mafisadi pia. Si unaona mmempa fisadi Chenge uenyekiti wa Bunge!! Ukiwa CCM, siyo fisadi, ukitoka unaitwa fisadi.

Mimi ni free person, siko affiliated na chama chochote. Licha ya KUWA nimekulia ndani ya CCM by default. Wakati nasoma kwa sisi tuliosoma zamani tulijifunza katiba ya CCM na AZIMIO la ARUSHA. Nasikitika KUWA hizi TUNU tulisha zitupa. Na ndiyo MAANA NCHI ipo hapa tulipo. Ile CCM ndiyo iliyokuwa bora kuliko kuliko ilivyosasa.

Kuhusu JPM muache afanye KAZI. Huoni mpaka SASA hamna kadhia ZOZOTE za watu kupiga hela??
Tumepumzika kusikia sijui huyu kapiga biln 200 huyu 300 huyu 100.
Hicho namuunga mkono. Mapungufu mengine ni ya kawaida. HATA wewe mkosoaji mkuu ukipewa urais utalalamikiwa tu kwani wewe siyo mkamilifu.

Tumuache tu RAIS wetu afanye KAZI.
 
Hatuwezi kujua maana Magufuli wako kaitoa Tanzania kwenye OGP. Sasa mambo yanafanyika gizani tu.

Tatizo la Magufuli mapungufu yake ni makubwa. Huwezi kuwa rais mwenye legitimacy iwapo wewe ni mvunja Katiba na sheria namba moja. Ni heri angekuwa na mapungufu ya kibinadamu. Lakini hili la kutoheshimu Katiba na sheria halivumiliki.

Nitaendelea kumsema as long as bado Tanzania inajitambulisha kwenye makaratasi ni nchi ya kidemokrasia.

Nimeona kuna watu wanasema kwamba demokrasia na vyama vingi vinachelewesha maendeleo ya Tanzania. Lakini ajabu, pamoja na wingi wa CCM, wameshindwa kubadili Katiba na sheria ili kufuta demokrasia na vyama vingi!!!
 
Hatuwezi kujua maana Magufuli wako kaitoa Tanzania kwenye OGP
Umekuja tena na chuki zako dhidi ya rais wetu. Hivi ni OGP pekee inayofanya serikali kufanya mambo yake open.
Hizi ndizo nchi zilizopo kwenye OGP:

upload_2018-4-10_22-16-47.png

Japan, China, Russia, Uturuki, Botswana, Morocco, Saudi Arabia, India nk Hazipo kwenye OGP na mambo yao yapo mswano

Tatizo la Magufuli mapungufu yake ni makubwa. Huwezi kuwa rais mwenye legitimacy iwapo wewe ni mvunja Katiba na sheria namba moja. Ni heri angekuwa na mapungufu ya kibinadamu. Lakini hili la kutoheshimu Katiba na sheria halivumiliki.
Mimi nimeamua ku deal na wewe humu humu.
Kwanza sitaki upayuke tu. Humu unaongea na watu wenye uelewa wao siyo mambumbumbu. Unapoengelea mambo usiyaongelee juu juu. Ninataka ueleze kinaga ubaga amevunja katiba katika kipengere kipi? Kuleta chuki kwa kiongozi wetu wa taifa ni upuuzi uliopita kiwango cha kawaida.

Tunataka uweke sheria ipi hajaiheshimu, na amevunja katiba wapi. Wewe unvyoonekana unawatetea wezi na walarushwa kama wewe siyo mmoja wa wezi katika nchi hii.

Nitaendelea kumsema as long as bado Tanzania inajitambulisha kwenye makaratasi ni nchi ya kidemokrasia.
Nilikueleza haki huwa inaendana na wajibu. Na demokrasia siyo kuropoka ropoka tu na kutoa kashifa zenye lengo la kuchafua watu wengine ili wewe uendelee ujinufaisha binafsi. Kwanza hueleweki unaongelea utaendelea kumsema. So which is which? Demokrasia ni kuwa objective na kuleta maelezo yenye mchango chanya katika kuendeleza taifa. Kujikita katika kuwachafua viongozi kwa vitu ambavyo havina mantiki hiyo siyo demokrasia ni vurugu. Na inatakiwa kushughulikiwa kwa kiwango cha juu. Amani yetu ni muhimu sana kuliko hicho unachodai kuwa ni demokrasia. Watu wachache hwatuwezi kuwaruhusu wakafika kiwango cha kutukana na kudhalilisha viongozi wetu tukawaacha tu. Lazima mstari uchorwe. Sisi kama watanzania tupo na tamaduni zetu, hatuwezi kamwe tukaiga tamaduni za wamagharibi za kutokuheshimu wakubwa.

Nimeona kuna watu wanasema kwamba demokrasia na vyama vingi vinachelewesha maendeleo ya Tanzania. Lakini ajabu, pamoja na wingi wa CCM, wameshindwa kubadili Katiba na sheria ili kufuta demokrasia na vyama vingi!!!
Nimekueleza kijana unatakiwa uwe objective. Kuliko kupayuka payuka tu. Hivi siyo ninyi CHADEMA mlisema kuwa Lowassa ni fisadi? Hivi si ndio nyie mlisema Mh. Kikwete ni dhaifu!!? Si ndio nyie mlileta machafuko huko Zanzibar na issue zenu za ngangali? Ndani yenu mmejaa uchu wa madaraka, msio na haya watu wa ndimi mbili, vigeugeu.

Kwa muda wa miaka 20+ mmefanya nchi hii kudumaa kutokana na makelele yenu na kujigeuza geuza kama kinyonga. Huu sasa ni wakati mwafaka wa kukataa na kuondokana na nyie. Maana mmetumiwa sana na adui wa nchi yetu. Mmekuwa sugu, hamuambiliki, vizabizabina, mliojaa chuki na rushwa. Haki chini ya uongozi wa jemadari JPM hatutawaruhusu tena kutuchelewesha. Mnajificha kama kunguni, mnalilia demokrasia wakati ndani ya vyama vyenu mnaikanyaga na kumwabudu mungu mtu mmoja.

Haikubaliki hata siku moja. Sisi vijana wazalendo tutapambana na nyie handi muombe po.
 
Hatuwezi kujua maana Magufuli wako kaitoa Tanzania kwenye OGP. Sasa mambo yanafanyika gizani tu.

Tatizo la Magufuli mapungufu yake ni makubwa. Huwezi kuwa rais mwenye legitimacy iwapo wewe ni mvunja Katiba na sheria namba moja. Ni heri angekuwa na mapungufu ya kibinadamu. Lakini hili la kutoheshimu Katiba na sheria halivumiliki.

Nitaendelea kumsema as long as bado Tanzania inajitambulisha kwenye makaratasi ni nchi ya kidemokrasia.

Nimeona kuna watu wanasema kwamba demokrasia na vyama vingi vinachelewesha maendeleo ya Tanzania. Lakini ajabu, pamoja na wingi wa CCM, wameshindwa kubadili Katiba na sheria ili kufuta demokrasia na vyama vingi!!!

Kumbe ogp ni gumash fulani la kuiga. Tumekalia kuiga iga tu.
Ona NCHI za UKWELI kama Botswana hawana huo upumbavu lkn wako vizuri mno.
One post [HASHTAG]#232[/HASHTAG].
 
Botswana hawana tatizo la kidemokrasia kama Tanzania. Botswana hawana tatizo la rushwa kama Tanzania. Botswana wananchi wake wanajielewa (civically aware/educated) kuliko Tanzania. Huwezi kuilinganisha Tanzania na Botswana. Tanzania tunapaswa kuilazimisha serikali yetu iwe wazi. Botswana serikali ipo wazi bila kulazimishwa.

Kwenye taifa ambalo viongozi ndiyo wala rushwa wakubwa kwa kutumia nyadhifa zao, mpango kama OGP ni wa muhimu sana. Wewe fikiria toka miaka mingi sasa, tunaomba mikataba iwe transparent. Lakini hadi leo bado serikali inapiga danadana. Ile sheria iliyopitishwa mwaka jana ya extractive industries na sovereignty, ina clause ambayo inasema serikali yaweza kuamua kupeleka mikataba Bungeni. Yaani serikali ina discretion hapa, na siyo kulazimishwa.

Tumeomba pia tuonyeshwe mikataba ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR na ujenzi wa Chato Airport, hadi leo hatujaonyeshwa. Kumbuka pia fedha za ununuzi na ujenzi yalikuwa ni maamuzi ya Magufuli, fedha hazikuidhinishwa na Bunge. Sasa public accountability itapatikanaje kwa hali hiyo?

Vilevile, hivi uliwahi kusema OGP ni upumbavu wakati Kikwete alipoiunga Tanzania kwenye OGP? Sikuwahi kusikia mwanaCCM yeyote akipinga. Na nakwambia, wewe na wanaCCM wenzako, akija Rais mwingine wa CCM akairudisha Tanzania kwenye OGP mtafurahia tena.
 
Sasa ona unakorukia, ninavyokuona unaruka ruka tu bila kuwa objective. Baada ya kukuonesha kuwa OGP is just a project kwa manufaa ya mabwanyenye, umekuja na mada nyingie ya kulinganisha Botswana na Tanzania. Hii ndiyo tunaiita ni kukosa direction au kukosa kitu cha kuongelea. Umekuja unaimba OGP, OGP unaijua OGP wewe? OGP imeanzishwa juzi juzi tu September 20, 2011.
Sasa hivi tupo na kiongozi anaweka maslahi ya Taifa mbele. Hayo masuala ya OGP na TWAWEZA ni usanii mtupu. Yaani watu wamekaa kwenye ofisi zao Dar wanapiga simu kuwauliza watu 1000 kati ya watu Milioni 50 then unaweka conclusion!!? Huu ni usanii na upuuzi wa kujipatia kipato pasipo kufanya kazi.

Nimekueleza kwa mataifa yanayojielewa na yanayopiga hatua kwa haraka. Haya mambo ya OGP ni mpango wa Mataifa ya Magharibi kurudisha nyuma juhudi za maendeleo. Nchi za ASIA zenye competition kubwa kiuchumi kwenye nchi za magaribi hazimo kwenye OGP maana ni upuuzi tu. Hizo rafiki ni Drama kama drama za akina Tundu Lissu. Hao hao akina Zitto Kabwe wanaolilia OGP kwa sababu wanamanufaa ndani yake Halmashauri yake imepata hati chafu. Huku madiwani karibia wote ni wa chama chake.
Halafu unatakiwa utambue kila nchi ipo na sheria na utaratibu wake. Huwezi kulazimisha Tanzania ifanane na USA. USA waishi kwa maisha yao na sisi tunaishi kwa maisha yetu. Halafu utambue Bunge la Tanzania linafuata mfumo wa mabunge ya jumuia ya madola. Fuatilia namna ya mabunge ya jumuia ya madola yanavyoongozwa.

Mmeomba muoneshwe mikataba wewe na nani? Unadhani kila kitu kinawekwa public? Kuna taratibu zipo kama unataka kuona mikataba yenye maslahi mapana na Taifa letu. Nimekueleza kija na unatakiwa kuwa objective.
Eti ujenzi wa SGR what? fuatilia utaratibu na utaweza kuiona mikata yote.
Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato!? lengo lako ni kutaka kumchafua rais wetu tu. Nchi imejidhatiti kujenga viwanja vya ndege kila mkoa. Chato ipo katika mkoa wa Geita. Sasa unataka watu wa Geita wasiwe na kiwanja cha ndege.
Mbona huongelei ujenzi wa kiwanja cha ndege Simiyu? Mbona huongelei Kiwanja cha Ndege Songwe? Mbona huongelei kiwanja cha Ndege Mafia, Mbona huongelei kiwanja cha ndege Kigoma?
Tanzama hii ramani. Mkoa wa Geita hakuna kiwanja chochote cha Ndege. Sasa wakitaka kujenga nyie mnapiga makelele. Mbona kuna mikoa ipo na viwanja zaidi ya kimoja wanageita hawalalamiki? Acha chuki wewe

International_Domestic_Airstrip_A4.jpeg

Vijana walioishiwa fikra wanaruka ruka tu bila kuwa objective. Si ndio nyie mliwahi kumwita JK kuwa dhaifu, ndio nyie mlimwita kuwa hawezi kukemea rushwa nk. Nimesema ninyi ni wazandiki, wanafiki msio na haya mmejaa chuki, haki ya nani mtahukumiwa kwa hayo. Taifa linahitaji maendeleo, linahitaji chakula, linahitaji Amani. Taifa halihitaji OGP tangu OGP iingie mimi sijawahi kuona mantiki yake. Kuna organazation zipo nyingi tu rafiki mfano
  1. Transparency International
  2. National Democratic Institute
  3. International Foundation for Electoral Systems
  4. International Institute for Democracy and Electoral Assistance
  5. Freedom House
  6. Human Rights Watch
  7. Amnesty International
Yapo mengi mengi mno.
 
Wazee walisema hasira ya mkizi humnufaisha mvuvi. Kupinga kila kitu anacho fanya Magu ulinzi kwakuwa ni wa CCM hakuwatendei haki majority ya wananchi waliompa mandate kwa kura nyingi kwa ticket ya kuondoa ufisadi, uvivu na kuleta maendeleo ya kweli. Kwa yale aliyofanya ndani ya miaka 2.3 tu hakuna Rais yeyote Afrika aliyefanya ktk miaka 5 in a recent memory. Ndio maana ni vigumu sana kuishawishi dunia kwamba Magufuli ni Rais mbaya.
Wrt OGP hii ni moja ya instruments za wakubwa kuendelea kututawala kupitia big data maana taarifa zetu zote hata siri za ndani tunawapa wenyewe tunakuwa client state🙂
ndio maana wajanja hawataki kuwemo humo.
Wrt Botswana, opposition iko very weak, na BDP wanatumia all means kuhakikisha kuwa opposition will never win tangu wapate uhuru, so hakuna jipya.
 
Umemaliza kila kitu MKULU. Akija tena nitamuona ana roho ya simba.
Hayo mambwembwe ya SIJUI OGP, twaweza, LHR hayajawahi kuisaidia NCHI yeyote kupiga hatua mbele. Ni longo longo tu na miradi ya Watu. Miaka yoote tumekuwa na mavitu hayo lkn rushwa ilikuwa imetamalaki. Kila kukicha utasikia huyu kapiga bilioni 100 huku 200biln kule 300bln etc. Sikuwahi ona kamwe hayo ma OGP yakisimama kidete kupinga rushwa, kila kukicha unasikia tu maufisadi tu. Nashukuru sasa JPM tangu aingie tumepumzika kidogo, hatusikii sikii SANA maufisadi.
JPM ikiwezekana fukuza hayo ma whistle blowers MAANA yamekuwepo miaka yote lkn hamna kiichofanywa kuzuia rushwa. Acha sasa twende bila hawa wapiga kelele tuone vitu vitakavyo kimbia.
 
Lengo lao ni kuleta uchochezi katika nchi wala hawana la maana. Hawana impact yoyote katika maendeleo.
Ukifuatilia kwa undani hawa TWAWEZA ni sehemu ya OGP.

upload_2018-4-11_10-6-32.png

upload_2018-4-11_10-8-19.png

Hao hao wanaopiga kelele akina Maria Sarungi, ndio wanaoipigia upatu OGP. Yaani ni wanufaika wa OGP

upload_2018-4-11_10-10-58.png

Kwahiyo hawa hawa wanakuja na movements zao zenye lengo la kuchafua taifa letu.
 
Wazee walisema hasira ya mkizi humnufaisha mvuvi. Kupinga kila kitu anacho fanya Magu ulinzi kwakuwa ni wa CCM hakuwatendei haki majority ya wananchi waliompa mandate kwa kura nyingi kwa ticket ya kuondoa ufisadi, uvivu na kuleta maendeleo ya kweli. Kwa yale aliyofanya ndani ya miaka 2.3 tu hakuna Rais yeyote Afrika aliyefanya ktk miaka 5 in a recent memory. Ndio maana ni vigumu sana kuishawishi dunia kwamba Magufuli ni Rais mbaya.
Wrt OGP hii ni moja ya instruments za wakubwa kuendelea kututawala kupitia big data maana taarifa zetu zote hata siri za ndani tunawapa wenyewe tunakuwa client state🙂
ndio maana wajanja hawataki kuwemo humo.
Wrt Botswana, opposition iko very weak, na BDP wanatumia all means kuhakikisha kuwa opposition will never win tangu wapate uhuru, so hakuna jipya.

Hivi huo ufisadi anaondoa ni upi? Na tutajuaje anaondoa ufisadi ilhali hatuna taarifa za government business? Nimetoa mfano wa mikataba ya manunuzi iliyofanyika chini ya Magufuli, yote ni siri. Sasa tutajuaje kama hakuna ufisadi humo? Unajua nyiye watu wa CCM mnaelewa polepole mno. Tuombe uzima, ili siku ambayo kila alichokifanya Magufuli kitakapowekwa wazi, tuone mtasemaje. Nyiye watu mlitetea safari za Kikwete. Btw, Magufuli mwenyewe alikuwa mtetezi mkubwa wa safari za Kikwete. Leo mnaona OGP haina maana, kwa nini hamkusema hivyo wakati Kikwete anaiunga Tanzania?

Ati majority Tanzanian? Dude, what was the voters turnout?

Yes, as long as CCM is in power, Tanzania will foreover be a shithole country. Yaani chama ambacho for over 50+ years has never accomplished even one thing in 100%, ndicho unatarajia ati kiibadili Tanzania for better. Keep on dreaming buddies.

Lakini kama TWAWEZA walivyosema, wafuasi na wapenzi wa CCM ni watu wenye elimu ndogo. Na watu kama nyiye ni opportunists. Ndiyo maana you kept silence under Kikwete's faulty leadership, and you are doing the same under Magufuli. As long as your bellies are filled up.
 
Back
Top Bottom