Ukweli upi,ule wakubambikia ugaidi na kesi zisizoisha kwa mnaotofautiana mawazo,au wenye mawazo mbadala au?Ukweli utawaweka huru.
Mkwara wakati unaambiwa ukweli.Acha mkwara mbuzi.
Acha mkwara mbuzi, Ccm inawafanyia makubwa watanzania.Dharau na kiburi na jeuri ndivyo vilipelekea mauaji ya kimbari ya Rwanda na Burundi.
Usijiulize, polisi, jeshi na vyombo vya ulinzi vilikuwa wapi?
Majira na wakati ukifika, hakuna atakayeweza kuuzuia muda
Ukweli upi,ule wakubambikia ugaidi na kesi zisizoisha kwa mnaotofautiana mawazo,au wenye mawazo mbadala au?
Kama katika bambikia,tozo,uonevu na yanayofanana na hayo.Acha mkwara mbuzi, Ccm inawafanyia makubwa watanzania.
Makombora ya ugaidi,uchochezi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha sio, kwa mujibu wa wanakijani.Naunga mkono hoja, wapinzani wanachotaka ni kutupiwa makombo ili watulie. Kwenye serikali ya wanyonge tuliona wakipinga maendeleo. Huyu zito huwaga mtu wa kutafuta sana maslahi. Tunawajua wote walioshangilia kifo cha mzee, kamwe hamtapa unafuu wowote.
Kwa hiyo huyu ni Idugunde ?
Hizo changamoto ndio mpasuko wenyewe na unahitaji kuuponya kabla haujakua! Unasahau kuwa usipoziba ufa utaujenga ukuta?anajua Ccm ipo imara,japokuwa kuna changamoto.
Kwako hiyo ndio hoja,sio kama hivyo, msingefika kwenye kutumia nyundo kwenye hoja.Jikite kwenye mada boss. Tanzania kuna mpasuko? Ccm inatakiwa kukaa meza moha na wapinzani.
Kwako hiyo ndio hoja,sio kama hivyo, msingefika kwenye kutumia nyundo kwenye hoja.Jikite kwenye mada boss. Tanzania kuna mpasuko? Ccm inatakiwa kukaa meza moha na wapinzani.
Sasa hapo ndio unajikita kwenye mada au?