Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
- Thread starter
- #21
Hata kama kuna changamoto ndio kukaa meza moja na Zitto au Mbowe?Hizo changamoto ndio mpasuko wenyewe na unahitaji kuuponya kabla haujakua! Unasahau kuwa usipoziba ufa utaujenga ukuta?
Hii ccm mpya imeharibu kabisa misingi iliyoianzisha na ukiichunguza Sana utagundua kuwa lengo lake siyo kuujenga umoja na mshikamano aliouasisi Baba wa taifa Bali ukanda na ukabila aliouasisi mwendake!
Kila kabila na Kila Kanda inajipigania kisiasa na kiuchumi badala ya kupigania taifa!