Hata kama kuna changamoto ndio kukaa meza moja na Zitto au Mbowe?Hizo changamoto ndio mpasuko wenyewe na unahitaji kuuponya kabla haujakua! Unasahau kuwa usipoziba ufa utaujenga ukuta?
Hii ccm mpya imeharibu kabisa misingi iliyoianzisha na ukiichunguza Sana utagundua kuwa lengo lake siyo kuujenga umoja na mshikamano aliouasisi Baba wa taifa Bali ukanda na ukabila aliouasisi mwendake!
Kila kabila na Kila Kanda inajipigania kisiasa na kiuchumi badala ya kupigania taifa!
Kwahiyo unataka ukae na wasiojulikana na maharami wa pale mtaa wakijani sio.?Hata kama kuna changamoto ndio kukaa meza moja na Zitto au Mbowe?
Kwako hao ni kina nani? Ni viongozi wa vyama vya siasa Kama alivyo SSH na Wana wafuasi Kama walivyo wanaccm na wafuasi wao ni watanzania na taifa lao ni Tanzania! Wana haki sawa ya kuishi na kufanya siasa Kama ilivyo ccm. Na Wana haki ya kushauri namna Bora ya kuongoza taifa Kama walivyo ccm.Hata kama kuna changamoto ndio kukaa meza moja na Zitto au Mbowe?
Ni ipi tafsiri yako ya uzalendo,nijuavyo Mimi kuna uzalendo halisi na uzalendo maslahi.Uzalendo kwanza kamanda. Chadema sio
Fasili ya uzalendo unaujua au unabweka TU Kwa kuwa Kuna mbwekaji kaanza kubweka na wewe unaiga?Uzalendo kwanza kamanda. Chadema sio
Wembe ni uleule, Ccm ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi.
Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa JPM ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko.
Ni mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa kila namna . Wapo tayari kuomba taifa lisipate msaada au litengwe bila sababu kisa tu maslahi yao yapatikane.
Taifa letu lipo madhubuti, kila mtanzania anajua Ccm ipo imara,japokuwa kuna changamoto. Habari za kutaka kukaa meza moja na Act wazalendo au Chademe ni kupoteza muda na rasilimali za watanzania.
Ccm ilishakufa kimebaki kikundi cha watu wachache wanalinda maslai yao binafasi kwa kutumia dola nakuhurumia mleta post wenzio wanaishi maisha ya kifahar ww unaleta mapambioWembe ni uleule, Ccm ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi.
Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa JPM ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko.
Ni mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa kila namna . Wapo tayari kuomba taifa lisipate msaada au litengwe bila sababu kisa tu maslahi yao yapatikane.
Taifa letu lipo madhubuti, kila mtanzania anajua Ccm ipo imara,japokuwa kuna changamoto. Habari za kutaka kukaa meza moja na Act wazalendo au Chademe ni kupoteza muda na rasilimali za watanzania.
Makubwa yepi? Leo mafuta ya kula Lita 20 inauzwa 90,000/-Acha mkwara mbuzi, Ccm inawafanyia makubwa watanzania.
Malalamiko yako hayana tofauti na mtoto anayemlalamikia baba yake kunywa uji usio na sukari wakati watoto Wenzake jirani wanalala njaa.Makubwa yepi? Leo mafuta ya kula Lita 20 inauzwa 90,000/-
Petrol mafuta ni Bei kuliko nchi jirani ambazo hazina bahari.
Umeme unakatika kila uchao.
Olympic mmepeleka wachezaji watatu wametutia aibu.
Bado madarasa mengi mjini na vijijini hayana madawati.
Hayo makubwa mnayowafanyia Watanzania ni yepi?
Hadi leo treni ya sgr haijawahi hata kutembea mita tatu. It is a typical white elephant
Kenya inatuacha kila uchao, Kenya ni nchi ndigo, lakini uchumi wake ni mara mbili ya huu wa kwetu.Malalamiko yako hayana tofauti na mtoto anayemlalamikia baba yake kunywa uji usio na sukari wakati watoto Wenzake jirani wanalala njaa.
Compare and contrast
Tatizo unakaririshwa. Rwanda nayo ni nchi ya kuisemea? Unaongelea Kenya ya mwaka 1985? Leo hii Tz inailisha Kenya alafu wewe unakariri. Acha kukariri uchumi wa makataratas.Kenya inatuacha kila uchao, Kenya ni nchi ndigo, lakini uchumi wake ni mara mbili ya huu wa kwetu.
Rwanda ni Kama wilaya ya Kahama kwa ukubwa wa eneo, kiuchumi wako vizuri sana, kijeshi, kielimu, kimiundombinu, na kimikakati.
Huwezi ukilinganisha na serikali ya CCM ambayo haijui hata inakopeleka nchi