Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
01752E41-ECD4-45A5-8B07-EDF90FDF635A.jpeg
 
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.
Badilisha kichwa cha habari kisimeke RITZ nakosa imani na chadema .

Wakati huo huo tuonyeshe ofisi za vyama vingine vya upinzani walau africa mashariki tu.
 
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
CCM tumeichangia kujenga makao makuu miaka 60 pale dodoma
 
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
Yote mliyonayo mlipora wakati vilichangiwa na kila mwananchi na serikali wakati wa enzi ya chama kimoja. Usituletee nyodo za kitoto hapa.
 
Mpandisha uzi ulisoma shule gani?
Ukaishia langapii?
Ulishawahi fanya research ! Lini na wapi?
Ulitumia njia gani kuwafikia hao watz?
Uliwapataje?
Lengo la kuwauliza nnn?
Wanaumri gani?
Jinsia gani?
Kiwango Chao cha elimu?
Nina mengi ya kuhoji acha niishie hapo
 
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
Wewe na Sukuma Gang ndiyo mmekosa imani,mbona mama na maccm wenzio wanaimani na CHADEMA.
 
Mpandisha uzi ulisoma shule gani?
Ukaishia langapii?
Ulishawahi fanya research ! Lini na wapi?
Ulitumia njia gani kuwafikia hao watz?
Uliwapataje?
Lengo la kuwauliza nnn?
Wanaumri gani?
Jinsia gani?
Kiwango Chao cha elimu?
Nina mengi ya kuhoji acha niishie hapo
Nipe jibu moja tu kwa nini Chadema chama kina miaka 30 kimepanga room 3 pesa za michango zinakwenda wapi elimu yangu itakisaidia nini Watanzania wanataka kujua.
 
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase [emoji161] ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
Mnarudia yale yale kwa miaka 10 sasa , hamna mengine ?

FB_IMG_1575390800494.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
CHANGIA CHADEMA
MPESA KWENDA CRDB
1. BONYEZA *150*00#
2. TUMA PESA
3. KWENDA BENKI
4. CHAGUA CRDB
5. BONYEZA 1, WEKA NAMBA YA AKAUNTI
6. INGIZA NAMBA YA MALIPO 0111080100600
7. INGIZA NAMBA YA SIRI

NB.
JINA LA AKAUNTI- CHADEMA M4C
AKAUNTI NAMBA 0111080100600

Hizi pesa zinaenda wapi????
 
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
Nenda ACT kama huna imani na Chadema. By the way Chama sio mama useme ni yeye tu. Halafu tangu lini CCM wakawa na imani na Chadema?
 
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
Ritz wewe huyu Leo huna Imani na Chadema mliyosema imekufa?? Au Kuna CHADEMA nyingine??
 
Tangu lini ulikua na imani na CHADEMA we kikaragosi wa mudi? Mkishashiba hizo tende na halua za bure anazowapa huyo bi chui jike huko kwenye viambaza vyenu vya mtambani na manyema mnakuja kujamba jamba hovyo hapa...

Siku hizi mna coalition kubwa kama CUF na ACT na sasa Mwenzenu yupo CCM kwanini msimpe hiyo imani unayosema hapa...

Nyie mtabaki kuwa watu wa hovyo sana na dhalili na ni vizuri kupoteza muda kujadili hali zenu za shida na kimaskini kuliko kuwajadili Chadema!! Mpaka leo mnanawia vikopo vya kutu mtayaweza mambo ya CHADEMA?

Hovyo sana!
.. ndani ya CHADEMA mwenyekiti wa milele ‘Freeman Mbowe’ amepandikiza woga kiasi kwamba chama hakina Haki, Usawa wala Demokrasia ya kweli.
Viongozi wengi wa juu wa CHADEMA wanatulalamikia ukiukwaji wa Haki ndani ya CDM na kusema kwamba wengi wanaumia lkn ni waoga kumkosoa Mbowe.
 
Wewe Ritz ndio wa kuandika haya?? Unafiki ni kitu Kibaya sana
 
Na nyie ACT na CUF anzisheni au unabeza kwakua sahv unabeua na kucheua ubwabwa wa bure toka kwa Hajjat wenu Chui jike kama kawaida yenu?

Hapo mnakula na kuvimbiwa tu kutwa kulala kwenye vijamvi vyenu vilivyochoka huku mkijambiana hovyo...

Mngewaambia waungwana wenzenu wakitawala wasiwape tu ubwabwa wa bure wawape na mali endelevu msibaki kuwa watu wa hovyo.
CHADEMA mna mwenyekiti miaka 22 anajichagua alafu mnatuea Porojo za Katiba Mpya.

Anzeni kwanza na Katiba Mpya ya CHADEMA ili kwenye Ukoo Saccos yenu muwe na demokrasia ya kweli, haki na Usawa kisha mtushauri tudai Katiba Mpya.

- watu wenye akili hatuwezi support wahuni. 😁
 
Back
Top Bottom