Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Nenda ACT kama huna imani na Chadema. By the way Chama sio mama useme ni yeye tu. Halafu tangu lini CCM
We shida yako nini? Mnavyo vyama vyenu CUF, ACT na CCM waambieni basi waje wafwate demokrasia..... ndani ya CHADEMA mwenyekiti wa milele ‘Freeman Mbowe’ amepandikiza woga kiasi kwamba chama hakina Haki, Usawa wala Demokrasia ya kweli.
Viongozi wengi wa juu wa CHADEMA wanatulalamikia ukiukwaji wa Haki ndani ya CDM na kusema kwamba wengi wanaumia lkn ni waoga kumkosoa Mbowe.
Kama mnapenda demokrasia mwachieni Hangaya awaongoze swala huko misikitini basi.