Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?

Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.

Chama masikini viongozi wa juu matajiri.

Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.

Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.

Over our dead bodies.
 
Badilisha kichwa cha habari kisimeke RITZ nakosa imani na chadema .

Wakati huo huo tuonyeshe ofisi za vyama vingine vya upinzani walau africa mashariki tu.
 
CCM tumeichangia kujenga makao makuu miaka 60 pale dodoma
 
Yote mliyonayo mlipora wakati vilichangiwa na kila mwananchi na serikali wakati wa enzi ya chama kimoja. Usituletee nyodo za kitoto hapa.
 
Mpandisha uzi ulisoma shule gani?
Ukaishia langapii?
Ulishawahi fanya research ! Lini na wapi?
Ulitumia njia gani kuwafikia hao watz?
Uliwapataje?
Lengo la kuwauliza nnn?
Wanaumri gani?
Jinsia gani?
Kiwango Chao cha elimu?
Nina mengi ya kuhoji acha niishie hapo
 
Wewe na Sukuma Gang ndiyo mmekosa imani,mbona mama na maccm wenzio wanaimani na CHADEMA.
 
Nipe jibu moja tu kwa nini Chadema chama kina miaka 30 kimepanga room 3 pesa za michango zinakwenda wapi elimu yangu itakisaidia nini Watanzania wanataka kujua.
 
Mnarudia yale yale kwa miaka 10 sasa , hamna mengine ?

 
CHANGIA CHADEMA
MPESA KWENDA CRDB
1. BONYEZA *150*00#
2. TUMA PESA
3. KWENDA BENKI
4. CHAGUA CRDB
5. BONYEZA 1, WEKA NAMBA YA AKAUNTI
6. INGIZA NAMBA YA MALIPO 0111080100600
7. INGIZA NAMBA YA SIRI

NB.
JINA LA AKAUNTI- CHADEMA M4C
AKAUNTI NAMBA 0111080100600

Hizi pesa zinaenda wapi????
 
Nenda ACT kama huna imani na Chadema. By the way Chama sio mama useme ni yeye tu. Halafu tangu lini CCM wakawa na imani na Chadema?
 
Ritz wewe huyu Leo huna Imani na Chadema mliyosema imekufa?? Au Kuna CHADEMA nyingine??
 
.. ndani ya CHADEMA mwenyekiti wa milele ‘Freeman Mbowe’ amepandikiza woga kiasi kwamba chama hakina Haki, Usawa wala Demokrasia ya kweli.
Viongozi wengi wa juu wa CHADEMA wanatulalamikia ukiukwaji wa Haki ndani ya CDM na kusema kwamba wengi wanaumia lkn ni waoga kumkosoa Mbowe.
 
Wewe Ritz ndio wa kuandika haya?? Unafiki ni kitu Kibaya sana
 
CHADEMA mna mwenyekiti miaka 22 anajichagua alafu mnatuea Porojo za Katiba Mpya.

Anzeni kwanza na Katiba Mpya ya CHADEMA ili kwenye Ukoo Saccos yenu muwe na demokrasia ya kweli, haki na Usawa kisha mtushauri tudai Katiba Mpya.

- watu wenye akili hatuwezi support wahuni. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…