Nenda ACT kama huna imani na Chadema. By the way Chama sio mama useme ni yeye tu. Halafu tangu lini CCM
We shida yako nini? Mnavyo vyama vyenu CUF, ACT na CCM waambieni basi waje wafwate demokrasia..... ndani ya CHADEMA mwenyekiti wa milele ‘Freeman Mbowe’ amepandikiza woga kiasi kwamba chama hakina Haki, Usawa wala Demokrasia ya kweli.
Viongozi wengi wa juu wa CHADEMA wanatulalamikia ukiukwaji wa Haki ndani ya CDM na kusema kwamba wengi wanaumia lkn ni waoga kumkosoa Mbowe.
CHADEMA mnatulizimisha Katiba Mpya kwa nguvu?Pesa ni zetu wewe zinakuuma Nini?? Diwani Mutta wa CCM
umeandika kwa hiyo umepata nini? Onyesha na Nyumba ya Baba yako aliyoishi akiwa na Miaka 30Wanaukumbi.
Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?
Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.
Chama masikini viongozi wa juu matajiri.
Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.
Yaaani Chama cha kwenye Briefcase [emoji161] ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.
Over our dead bodies.
Sasa unawezaje kutofautisha TANU na CCM. Yaani ni sawa na kusema tuongelee kuzaliwa kwako wewe mpaka hapo ulipo bila kuwataja wazazi wako.Weka na mali za CCM bila kugusa Mali za TANU
Nyumba ya baba yangu tumewapangisha Chadema upande.umeandika kwa hiyo umepata nini? Onyesha na Nyumba ya Baba yako aliyoishi akiwa na Miaka 30
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hamtaki wewe na nani? Yakikukuta ya Carol Ndosi akili zitakurudia kama yeye muda huu....CHADEMA mnatulizimisha Katiba Mpya kwa nguvu?
- Hii nchi sio ‘Group La WhatsApp’ kama “Ukoo Saccos” yenu.
- Hii nchi haiendeshwi kwa fikra za mtu mmoja kama Mfalme Mbowe anavyoendesha CDM.
- Hii nchi ni yetu sote; hatutaki Katiba Mpya hadi 2025 ipite, Njooni basi mtuue.😁
Mbowe ana akili kuliko Wabunge wote wa CCM. Level ya Mbowe ni Samia na sio Mtu mwingine yoyote yule.CHADEMA mnatulizimisha Katiba Mpya kwa nguvu?
- Hii nchi sio ‘Group La WhatsApp’ kama “Ukoo Saccos” yenu.
- Hii nchi haiendeshwi kwa fikra za mtu mmoja kama Mfalme Mbowe anavyoendesha CDM.
- Hii nchi ni yetu sote; hatutaki Katiba Mpya hadi 2025 ipite, Njooni basi mtuue.😁
inaitwa saccosCHANGIA CHADEMA
MPESA KWENDA CRDB
1. BONYEZA *150*00#
2. TUMA PESA
3. KWENDA BENKI
4. CHAGUA CRDB
5. BONYEZA 1, WEKA NAMBA YA AKAUNTI
6. INGIZA NAMBA YA MALIPO 0111080100600
7. INGIZA NAMBA YA SIRI
NB.
JINA LA AKAUNTI- CHADEMA M4C
AKAUNTI NAMBA 0111080100600
Hizi pesa zinaenda wapi????
Ipo siku watajitwalia viwanja vikubwa vya michezo na maeneo mengi ya wazi nchini Tanzania. Bila shaka tutwashangaa wasipokuwa na ofisi na vyanzo imara vya mapato...Wanaukumbi.
Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani?
Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu.
Chama masikini viongozi wa juu matajiri.
Tena hapo mtaa wa Ufipa wamepangisha.
Yaaani Chama cha kwenye Briefcase 💼 ndiyo wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi yetu.
Over our dead bodies.
Kumbe unavuta kitu Bw RitzMfalme wenu Mbowe alishaambiwa acheni matusi tunaonekana wote wavuta. Bangi
Nadhani wakifikia level za ccm ndo utajua hiyo michango si kitu si chochote!Vyanzo vipi tena vya mapato wakati michango kila siku tunachanga.
HahahahaHi minyumbu ya Mbowe Alisha ijulia. Anatafuna KODI ZA WALALAHOI, JOIN THE CHAIN, MICHANGO YA WAHISANI ipo inacheka cheka Kama mazwazwa.
Halafu eti ACT ndo inajilinganisha na CHADEMA hahahaha!Hakuna Katiba Mpya wala mchakato wa Katiba Mpya utakaoanza nchi hii hadi UCHAGUZI MKUU wa 2025 upite.
Mhe. Rais Samia alishaeleza vema sana, pia Ilani ya ccm 2020-2025 haikutoa ahadi ya Katiba Mpya.
Ukweli Mchungu, hakuna Katiba Mpya 2022-2025.