Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa




!
!
Mnaosimama Nje Ya Nchi Kama Mimi M Like Comment Hii
 
Mimi ni dispora kwa sasa niko dar es salaam
Nafikiria kurudi nchini kwetu mbeya mwezi huu
 
Kama bado unaishi basi tumaini lipo. Usiku moja tena sio mbali saana lazima nifike majuu.
 
Huwezi nitafutia dem huko ili anizamishie huko..
Au kuna ugumu pia
 
Mkuu naona unatufundisha udanganyifu, upo sahihi kabisa maana Dunia yenyewe ndo ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…