Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ajibiwe na nani?Kigogo kasema tayari ametangulia. Maiti Iko nje ya nchi. Muuliza swali ana hoja na ajibiwe tafadhali..
Ajibiwe na nani?Kigogo kasema tayari ametangulia. Maiti Iko nje ya nchi. Muuliza swali ana hoja na ajibiwe tafadhali..
Basi na hao wanajitokeza kumjubu sasa wanyamazeAjibiwe na nani?
Siyo Kihelehele ni KiherehereKielehele chako tu Wala hakuna Mtanzania anayemuwaza
Acha aendelee na majukumu yake
Yupo anateswaAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana
Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote
Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo
Asanten sana
LONDON BOY
hii ni forum babu were watu mbalimbali wanakutana....!!Jamii Forums sio ofisi za usalama wa taifa nyoko wewe
AnaumwaWanadai yupo Mzena
No one knowsAnaumwa
Alikuwa pamoja na NCHIMBI kule BRAZIL Ubalozini.Nenda kaulize ofisi yeyote ya usalama wa Taifa ulipo
Jamii Forums sio ofisi za usalama wa taifa nyoko wewe
Nilikuwa nasoma hyo id nalinganisha na majibu yake nimecheka sanaNenda kaulize ofisi yeyote ya usalama wa Taifa ulipo
Jamii Forums sio ofisi za usalama wa taifa nyoko wewe