Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

Yupo likizo au ulitaka akienda likizo akwambie na ww naenda likizo makonda mlizusha kashafariki
 
Yupo anateswa
 
Kama ni Baba yako kamuangalie nyumbani kwenu
 
Watanzania gani?
Baba yenu wewe na nani?
 
Nenda kaulize ofisi yeyote ya usalama wa Taifa ulipo

Jamii Forums sio ofisi za usalama wa taifa nyoko wewe
Alikuwa pamoja na NCHIMBI kule BRAZIL Ubalozini.
Alimpendekeza Nchimbi kuwa katibu wa ccm kweli akawa.
Nchimbi anakuwa makamu, makamu anakuwa .. huko mbele.
Singasinga anaalikwa kwenye harambee ya chama mlimani. Anachangia mabilioni . Ikulu inatekwa na walanguzi.
Usalama wa taifa au wa kuiba kura za ccm??? Usalama gani huo bandari na mbuga na hifadhi zinauzwa kwa wageni wao wapo tu. Labda wa kuwaua kina KIBAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…