Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

Namba tunasoma wote lakini jamaa wa MAMA ANA UPIGA MWINGI na ndugu zao CDM/ACT wanaamini wanaowaita SUKUMA GANG ndo wanaumia
 
Sawa mkuu🀣

Awamu ya 5 ilikuwa na slogan ya "HAPA KAZI TU"....

Awamu ya 6 ambayo haina ilani yake imekuja na slogan ya "KAZI INAENDELEA".....

Hizo kelele mlimpigia Hayati JPM?!!!

Kipi kimebadilika sasa?!!

Mh.SSH kaajiri zaidi ya vijana 8000 kufidia nafasi zilizoachwa wazi.....AWAMU YA 5 haikuajiri....hii nayo si nafuu?!!!

Zile TASK FORCE za kukusanya Kodi kwa nguvu hazipo....je si nafuu?!!!

Maduka ya kubadilisha fedha bado yamefungwa?!!

ENDELEENI KUUFUKUZA UPEPO

#KaziIendelee
 
Mama anaupiga mwingi sanaaaaaaaaa
 
Kipindi kigumu nilianza miaka mitano iliyopita msitake kumtupia mama mambo mkamsahau muanzilishi
 
Ukweli mm sina shida na maduka ya kubadili fedha kiholela, sababu iyo ni kazi ya mabenki . Ila ajira, Izo za walimu na watumishi wa afya pekee hazitoshi. Ripoti ilotoka tamisemi, upungufu ni 40,000 walimu kwa hiyo ata 1/3 hakufika! Alaf watz wote ni wahitimu wa ualimu na afya!?
Alaf, pamoja na magu kutubana nk. HAKUKUWA NA TOZO ZA MSHIKAMANO!!! HUKU NI KUUWA UCHUMI I ASSURE YOU!! RAISI ARUDI CHUO AKASOME UCHUMI TENA SIO ANALETA MAJARIBU NA UCHUMI MBOVU TAYAR- NI KUUANGUSHA TU!!! YANI NI AIBU LKN WATU KITAA WANASEMA HERI YA MAGU!!!!
 
Kama unaona wanaolalamika kuhusu hizi tozo wanaigiza basi chukua Mali zako zote uuze kitakachopatikana ipe serikali ili ijulikane wewe ndo mzalendo Mana unachokitete ni ujinga na utoto.
 
Awamu ya 5 haikutoa ajira kwa miaka 6....wewe ulikuwa usingizini kutoziona hizi ajira 8000 za TAMISEMI na WIZARA YA AFYA?!!!

#KaziIendelee
Nishakujibu, watanzania sio wahitimu wa elimu ya ualimu na afya pekee!!! Plus wahitimu wa miaka 6 ni wangapi so far? Na so walopewa Ajira ni asilimia moja point ngani yani....!?
 
Hayati alikopa sana kiasi mama kaachiwa upenyo mdogo wa kukopa.
Ila kosa alilolifanya mama ssh ni kiwaamini watu ambao hawamkubali.

Twende hivyohivyo mzobe mzobe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dah ni kwei maisha sasa hv yamekua magumu sana hakuna bishara kabisa binafsi sijui ni nn kinaendelea yani sielewi ila

Maisha ni magumu na biashara haziendi
 
Hamna shukurani ndivyo wabongo mlivyo,Magu amekaa madarakani hakuwahi kupandisha madaraja wala ajira mpya,Leo hii mnakuwa madomo Kaya kumsema mama ambae hata miezi sita haikufika kapandisha madaraja, ameajiri walimu,watumishi wa Afya na Askari polisi waliokaa miaka sita bila vyeo Leo hii wamefufurika vyuoni kupata vyeo.
na bado wengine wanasubiria wapo kwenye list ya wafuatao, tunaona mabadiliko ya mishahara,wewe bado unaongelea habari ya tozo,nenda kasome wewe sio kumwambia Mh Rais ambae amezungukwa na wabobezi wa uchumi ambao ndio washauri wake,wewe Nani kumwambia Rais arudi chuoni?
 
Nishakujibu, watanzania sio wahitimu wa elimu ya ualimu na afya pekee!!! Plus wahitimu wa miaka 6 ni wangapi so far? Na so walopewa Ajira ni asilimia moja point ngani yani....!?
Ulikuwa huna muajiriwa hata mmoja kwa miaka 6....ndani ya siku 100 una waajiriwa 8000....

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…