Hamna shukurani ndivyo wabongo mlivyo,Magu amekaa madarakani hakuwahi kupandisha madaraja wala ajira mpya,Leo hii mnakuwa madomo Kaya kumsema mama ambae hata miezi sita haikufika kapandisha madaraja, ameajiri walimu,watumishi wa Afya na Askari polisi waliokaa miaka sita bila vyeo Leo hii wamefufurika vyuoni kupata vyeo.
na bado wengine wanasubiria wapo kwenye list ya wafuatao, tunaona mabadiliko ya mishahara,wewe bado unaongelea habari ya tozo,nenda kasome wewe sio kumwambia Mh Rais ambae amezungukwa na wabobezi wa uchumi ambao ndio washauri wake,wewe Nani kumwambia Rais arudi chuoni?