fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Sasa mmebuni mbinu ya kuiondoa CCM madaraka!🤣Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane.
Hili halihitaji Azimio la Bunge wala Mswada wowote wa Sheria.
Wananchi tukiamua na kushinikiza, hili linawezekana kufanyika kwenye Uchaguzi Mkuu Novemba mwaka huu 2025
Ccm hawana huo utayari wala uthubutu kufanya hivyo ni kupotea kwenye ramaniNjia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane.
Hili halihitaji Azimio la Bunge wala Mswada wowote wa Sheria.
Wananchi tukiamua na kushinikiza, hili linawezekana kufanyika kwenye Uchaguzi Mkuu Novemba mwaka huu 2025
Sisiemu wanaogopa kura kuwa wazi, huru na haki kuliko kitu chochote.Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Sasa mmebuni mbinu ya kuiondoa CCM madaraka!🤣
Tena vijora vinavyokosa stahaa.Sisiemu wanaogopa kura kuwa wazi, huru na haki kuliko kitu chochote.
Ccm na kura FEKI ni kama wavaa vijora na ngoma
KabisaNjia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane.
Hili halihitaji Azimio la Bunge wala Mswada wowote wa Sheria.
Kweli aiseeNjia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane.
Hili halihitaji Azimio la Bunge wala Mswada wowote wa Sheria.
Wananchi tukiamua na kushinikiza, hili linawezekana kufanyika kwenye Uchaguzi Mkuu Novemba mwaka huu 2025
Babu Wassira anahutubia watu na kuwaambia kwamba Watanzania wanataka huduma, siyo Katiba Mpya.Sasa mmebuni mbinu ya kuiondoa CCM madaraka!🤣
CCM wanapenda kusifiwa sana.Ccm wapo tayari kuwauwa hata watanzania wt lkn c sanduku lao la kuraa ety watu wapigee kura za waziii ...😀
Uko sahihi Vessel.Ccm hawana huo utayari wala uthubutu kufanya hivyo ni kupotea kwenye ramani
Tukipaza Sauti, watasikia.Sisiemu wanaogopa kura kuwa wazi, huru na haki kuliko kitu chochote.
Ccm na kura FEKI ni kama wavaa vijora na ngoma
Na ataongeza watanzania wana njaa.Wassira akisikia atasema Watanzania hawana muda wa kupiga kura za wazi na kuhesabiwa kwa wazi
Tule nao Sahani mojaC
Tena vijora vinavyokosa stahaa.
Tupaze sauti.Kabisa
Tutamwambia pamoja na kuwa na NJAA, tunataka hao WALIOVIMBIWA kwa Kura za WIZI wajue kwamba Kodi zetu ndizo zinawalisha.Na ataongeza watanzania wana njaa.
Samia hawezi kukubali ombi hiliNjia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane.
Hili halihitaji Azimio la Bunge wala Mswada wowote wa Sheria.
Wananchi tukiamua na kushinikiza, hili linawezekana kufanyika kwenye Uchaguzi Mkuu Novemba mwaka huu 2025
Huwa wanakuja na kauli za uchawa zisizo na mashiko, kama hii hapa...Tukipaza Sauti, watasikia.
Shinikizo likiongezeka, tena bila kudai mabadiliko ya Sheria na Kanuni, CCM wataleta Hoja gani kupinga?