Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

Simba huwa INA mashabiki wajinga sana....wanaona fahari kucheza kimataifa lakini kiuhalisia wanatumika kama ngazi kuzipatia timu zingine maujiko na mafanikio.
Mashabiki wa simba utasikia "tumetoka kiume" na blahblah nyingi.
In short mashabiki wa simba ni malofa.
Refer hata hapa jukwaani.
Mashabiki wazuri ni wa Ihefu au sio?Mbarali mbali.
 
Uwekezaji nao ni muhimu, Imagine unachukua Striker kutoka Dortmund mshahara wa miezi sita tu unapata hela za usajili za timu za Kariakoo, kila mwaka tutakuwa tunasema tumewakosakosa lakn wenyewewanajua wanachokifanya. BTW mpira wa Tz umekuwa sana tofaut na miaka ya nyuma.
 
Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu.

Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa class ya juu sana ila uhalisia wake tumeona

Ngoja nitaje mifano kadhaa inayothibitisha tunazikuza tu hizi timu kuliko
Mfano Yanga iliitoa club Africain kwa kuifunga nyumbani, pia iliongoza kundi kwenye Shirikisho iliyokuwa na US Monstir ya Tunisia, na Fainali dhidi ya USM Alger Yanga wangeweza kushinda sema tu ni ile presha ya kucheza fainali kwa mara ya kwanza na walitoka tu kwa kanuni ya goli la ugenini na sio aggregate

Simba pia tumeona ikicheza na Wydad, al Ahlly, JS Soura, na kuzifunga au kutoa sare, hata kama ikifungwa kunakuwa hakuna tofauti kubwa sana ya ubora ile useme kuwa imekuwa out classed, zinakuwa ni timu za viwango vinavyofanana.

Ni muda sasa kuanza kuona timu zetu sio za kinyonge tena kwa timu za Kaskazini, na Simba hatutakiwi kushangilia hii draw bali kusiikitika kwani uwezo wa kuwafunga Ahly tunao.
Ukweli mtupu.
 
Mkuu
mimi mpira sina taaluma nao sana, ila kwa takwimu kadhaa hii hoja yako nimeshaiongea sana kwa baadhi ya mashabiki wa timu zote!

Tangu simba itolewe na wydad kwa penati nikaona hawa waarabu wako overrated! Mwarabu anatakiwa awe kama raja anakupiga nje/ndani sio chini ya goli3, sasa skuizi hata tukimenyana nao tunawafunga ama draw hapo utasema ni bora sana? Tukifungwa na waarabu sasa hivi ni uzembe tuna kiwango/uthubutu/experience kuwasifu na kuwaabudu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana!
 
Wanafungika vizuri sana
 
Simba huwa INA mashabiki wajinga sana....wanaona fahari kucheza kimataifa lakini kiuhalisia wanatumika kama ngazi kuzipatia timu zingine maujiko na mafanikio.
Mashabiki wa simba utasikia "tumetoka kiume" na blahblah nyingi.
In short mashabiki wa simba ni malofa.
Refer hata hapa jukwaani.

Alahaly unaipaje ujiko ambao haina team tumeikuta inabeba makombe huku sisi tunajikongoja… tunatamani tuwe kama wao team bora africa na duniani
 
Waarabu wanabebwa sana hawana maajab
 
Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu.

Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa class ya juu sana ila uhalisia wake tumeona

Ngoja nitaje mifano kadhaa inayothibitisha tunazikuza tu hizi timu kuliko
Mfano Yanga iliitoa club Africain kwa kuifunga nyumbani, pia iliongoza kundi kwenye Shirikisho iliyokuwa na US Monstir ya Tunisia, na Fainali dhidi ya USM Alger Yanga wangeweza kushinda sema tu ni ile presha ya kucheza fainali kwa mara ya kwanza na walitoka tu kwa kanuni ya goli la ugenini na sio aggregate

Simba pia tumeona ikicheza na Wydad, al Ahlly, JS Soura, na kuzifunga au kutoa sare, hata kama ikifungwa kunakuwa hakuna tofauti kubwa sana ya ubora ile useme kuwa imekuwa out classed, zinakuwa ni timu za viwango vinavyofanana.

Ni muda sasa kuanza kuona timu zetu sio za kinyonge tena kwa timu za Kaskazini, na Simba hatutakiwi kushangilia hii draw bali kusiikitika kwani uwezo wa kuwafunga Ahly tunao.
Bila ushahidi ni porojo kama porojo zingine tu...
Weka vikombe vya hizo timu za tanzania na hizo za waarab kuthibitisha kuwa ziko levo moja...
Kwenye facilities huko usiingie, na kwenye bajeti usiguse kabisa... ongelea tu mafanikio ya uwanjani... unalingana nao kwa kigezo kipi mfano al ahly? Yeye kukutoa kwa jasho sio kigezo cha kusema unalingana nae, hata ktk ligi bora ulaya timu za mwisho ktk msimamo zaweza sumbua anayeongoza...
Usipotoshe watu, weka ushahidi tu bila porojo...
 
Back
Top Bottom