Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu.

Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa class ya juu sana ila uhalisia wake tumeona

Ngoja nitaje mifano kadhaa inayothibitisha tunazikuza tu hizi timu kuliko
Mfano Yanga iliitoa club Africain kwa kuifunga nyumbani, pia iliongoza kundi kwenye Shirikisho iliyokuwa na US Monstir ya Tunisia, na Fainali dhidi ya USM Alger Yanga wangeweza kushinda sema tu ni ile presha ya kucheza fainali kwa mara ya kwanza na walitoka tu kwa kanuni ya goli la ugenini na sio aggregate

Simba pia tumeona ikicheza na Wydad, al Ahlly, JS Soura, na kuzifunga au kutoa sare, hata kama ikifungwa kunakuwa hakuna tofauti kubwa sana ya ubora ile useme kuwa imekuwa out classed, zinakuwa ni timu za viwango vinavyofanana.

Ni muda sasa kuanza kuona timu zetu sio za kinyonge tena kwa timu za Kaskazini, na Simba hatutakiwi kushangilia hii draw bali kusiikitika kwani uwezo wa kuwafunga Ahly tunao.
Power Dynamos
 
Mpaka tunakuza ni kwa Sababu ya viongozi wengi wa mpira huku afrika mashariki ni wababaishaji. Usajili wa hivyo hovyo kuanzia kwa kocha Hadi wachezaji Sasa hapo utaachaje kunyanyaswa na mwarabu miaka yote. Tau kwa mwezi tu analipwa zaidi ya tsh mioni mia mbili Sasa unataka ujifananishe nao
 
Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu.

Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa class ya juu sana ila uhalisia wake tumeona

Ngoja nitaje mifano kadhaa inayothibitisha tunazikuza tu hizi timu kuliko
Mfano Yanga iliitoa club Africain kwa kuifunga nyumbani, pia iliongoza kundi kwenye Shirikisho iliyokuwa na US Monstir ya Tunisia, na Fainali dhidi ya USM Alger Yanga wangeweza kushinda sema tu ni ile presha ya kucheza fainali kwa mara ya kwanza na walitoka tu kwa kanuni ya goli la ugenini na sio aggregate

Simba pia tumeona ikicheza na Wydad, al Ahlly, JS Soura, na kuzifunga au kutoa sare, hata kama ikifungwa kunakuwa hakuna tofauti kubwa sana ya ubora ile useme kuwa imekuwa out classed, zinakuwa ni timu za viwango vinavyofanana.

Ni muda sasa kuanza kuona timu zetu sio za kinyonge tena kwa timu za Kaskazini, na Simba hatutakiwi kushangilia hii draw bali kusiikitika kwani uwezo wa kuwafunga Ahly tunao.
kweli kabisa
na jana simba kashinda
 
Mtoa mada kama we ni mtu wa mpira ni lazima ukubali mambo mawili
1: Hizo timu za kiarabu na zingine zinazosemwa ni kubwa ni kubwa kweli na zikiwa zinacheza unaweza kuona ukubwa wao kutokana na quality play wanazozifanya
2; Timu zetu Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni zinepata ari ya kulikaribia daraja la ubora wa wenzetu na hata kutoa ushindani wa kutosha pale tunapokutana nazo... ubora wetu unazidi kuongezeka kila siku

Timu zetu kupata baadhi ya matokeo tunayoyaona ni nafuu kwetu haimaanish kuwa timu zao ni dhaifu au ni mbovu hiyo ni kujidanganya tu na kukosa heshima ya mpira 😁
 
Ona hili junya hapa
FB_IMG_1698229037916.jpg
 
Al Ahly ni wabovu, wale Wydad walikuwa na matatizo ya bechi la ufundi. Kaka vilabu vikubwa kama hivi usifikiri ni kama Azam au Ihefu, jamaa mpira wanajua haswa.

Tanzania tunahitaji uwekezaji mkubwa ktk soka ili kufika hapo walipo, timu kama Mamelod wanaoipasua Al Ahly nje ndani usifikiri Mamelod ni kama Simba au Yanga, Mamelod wapo vizuri ktk uwekezaji.
Na bado ubingwa wanabeba Al ahly au Wydad, sasa ndo nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu
mimi mpira sina taaluma nao sana, ila kwa takwimu kadhaa hii hoja yako nimeshaiongea sana kwa baadhi ya mashabiki wa timu zote!

Tangu simba itolewe na wydad kwa penati nikaona hawa waarabu wako overrated! Mwarabu anatakiwa awe kama raja anakupiga nje/ndani sio chini ya goli3, sasa skuizi hata tukimenyana nao tunawafunga ama draw hapo utasema ni bora sana? Tukifungwa na waarabu sasa hivi ni uzembe tuna kiwango/uthubutu/experience kuwasifu na kuwaabudu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana!
Lakin huyo Raja bado anatolewa na Al Ajly na Wydad, sasa nan anatakiwa kumuiga mwenzake?
 
Back
Top Bottom