Mashabiki wazuri ni wa Ihefu au sio?Mbarali mbali.Simba huwa INA mashabiki wajinga sana....wanaona fahari kucheza kimataifa lakini kiuhalisia wanatumika kama ngazi kuzipatia timu zingine maujiko na mafanikio.
Mashabiki wa simba utasikia "tumetoka kiume" na blahblah nyingi.
In short mashabiki wa simba ni malofa.
Refer hata hapa jukwaani.
Mkuu al ahly amecheza ovyoKwa ufupi tu, leo vibonde wawili walikutana.
Kwa sisi tulio neutral tunaotazama kwa ajili tu ya burudani ilikuwa kero tupu. Yaani Simba wanacheza ovyo, Al Ahly nao wanacheza ovyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mechi ya leo walitaka ushindi ama draw?Warabu wanajua wanachokifanya uwanjani.
Kama anatafuta goli atalipata kama ni droo ataipata.
Simba uwezo mdogo kwa timu kubwa.
Simba imejitahidi sana
Mamelodi ipi yenye kombe la Afrika?Mamelodi ipi unazungumzia?
Hata kwa pitch tunakuwa soft sana tukicheza naoHuo nao ni uwekezaji. Hatukuzi timu tu bali hata dini za kiarabu, waarabu na kila ujinga wao. Bado wazungu nao kutukuzwa hadi kuabudiwa. Ni hatari kwa waswahili wasipoamka na kujitambua. Mtaliwa mpaka mkome
Uwezo wao ndio umeishia paleMkuu al ahly amecheza ovyo
Ukweli mtupu.Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu.
Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa class ya juu sana ila uhalisia wake tumeona
Ngoja nitaje mifano kadhaa inayothibitisha tunazikuza tu hizi timu kuliko
Mfano Yanga iliitoa club Africain kwa kuifunga nyumbani, pia iliongoza kundi kwenye Shirikisho iliyokuwa na US Monstir ya Tunisia, na Fainali dhidi ya USM Alger Yanga wangeweza kushinda sema tu ni ile presha ya kucheza fainali kwa mara ya kwanza na walitoka tu kwa kanuni ya goli la ugenini na sio aggregate
Simba pia tumeona ikicheza na Wydad, al Ahlly, JS Soura, na kuzifunga au kutoa sare, hata kama ikifungwa kunakuwa hakuna tofauti kubwa sana ya ubora ile useme kuwa imekuwa out classed, zinakuwa ni timu za viwango vinavyofanana.
Ni muda sasa kuanza kuona timu zetu sio za kinyonge tena kwa timu za Kaskazini, na Simba hatutakiwi kushangilia hii draw bali kusiikitika kwani uwezo wa kuwafunga Ahly tunao.
Wanafungika vizuri sanaMkuu
mimi mpira sina taaluma nao sana, ila kwa takwimu kadhaa hii hoja yako nimeshaiongea sana kwa baadhi ya mashabiki wa timu zote!
Tangu simba itolewe na wydad kwa penati nikaona hawa waarabu wako overrated! Mwarabu anatakiwa awe kama raja anakupiga nje/ndani sio chini ya goli3, sasa skuizi hata tukimenyana nao tunawafunga ama draw hapo utasema ni bora sana? Tukifungwa na waarabu sasa hivi ni uzembe tuna kiwango/uthubutu/experience kuwasifu na kuwaabudu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana!
Mifano yote hiyo umeona Club African tu. Au umejiandaa kutokuelewa?club africain sio sawa na al ahly
Kwa ufupi tu, leo vibonde wawili walikutana.
Kwa sisi tulio neutral tunaotazama kwa ajili tu ya burudani ilikuwa kero tupu. Yaani Simba wanacheza ovyo, Al Ahly nao wanacheza ovyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba huwa INA mashabiki wajinga sana....wanaona fahari kucheza kimataifa lakini kiuhalisia wanatumika kama ngazi kuzipatia timu zingine maujiko na mafanikio.
Mashabiki wa simba utasikia "tumetoka kiume" na blahblah nyingi.
In short mashabiki wa simba ni malofa.
Refer hata hapa jukwaani.
Mama yangu alishatangulia mbele za haki nikiwa bado kichanga kabisa.Mpeleke mama yako akacheze nao kitandani
Kwahiyo unadhani mamelod hajawahi kuwa bingwa wa afrika?Mamelodi ipi yenye kombe la Afrika?
Sio kudhani, hiyo ni factKwahiyo unadhani mamelod hajawahi kuwa bingwa wa afrika?
Bila ushahidi ni porojo kama porojo zingine tu...Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu.
Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa class ya juu sana ila uhalisia wake tumeona
Ngoja nitaje mifano kadhaa inayothibitisha tunazikuza tu hizi timu kuliko
Mfano Yanga iliitoa club Africain kwa kuifunga nyumbani, pia iliongoza kundi kwenye Shirikisho iliyokuwa na US Monstir ya Tunisia, na Fainali dhidi ya USM Alger Yanga wangeweza kushinda sema tu ni ile presha ya kucheza fainali kwa mara ya kwanza na walitoka tu kwa kanuni ya goli la ugenini na sio aggregate
Simba pia tumeona ikicheza na Wydad, al Ahlly, JS Soura, na kuzifunga au kutoa sare, hata kama ikifungwa kunakuwa hakuna tofauti kubwa sana ya ubora ile useme kuwa imekuwa out classed, zinakuwa ni timu za viwango vinavyofanana.
Ni muda sasa kuanza kuona timu zetu sio za kinyonge tena kwa timu za Kaskazini, na Simba hatutakiwi kushangilia hii draw bali kusiikitika kwani uwezo wa kuwafunga Ahly tunao.
Vipi kuhusu USMA Algers?Club africain sio sawa na Al Ahly