Watanzania tupige magoti kwa Mungu kumuombea Prof. Janabi ashinde Ukurugenzi WHO kanda ya Afrika

Anakusaidia nini huyu prof wa propaganda za kususia misosi.
 
Kwani huko CCM hamuwezi kuiba kura hadi uwaombe watu wapige sijui magoti na kujinyenyekeza?

Itapendeza sana akishindwa maana hizo taasisi za nje zikiwa zinawakemea kuhusu uvunjanji wa haki za binadamu mnasema wasiwapangie na wanaleta agenda za ushoga .

Pia hatuwezi kuwa na muwakilishi katika nchi inayomwaga damu za watu wanaotofautiana mawazo na watawala.

Na zaidi ya yote nchi isiyoheshimu demokrasia na mfumo kandamizi wa uchaguzi unaopendelea chama kimoja haistahili kupata hiyo docket.
 
Kwani mafekeche yenu yameshindikana?
Tuna mengi ya kumuomba Mungu hilo hangaikeni nalo wenyewe.
 
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na Prof.Mohamed Janabi, Mungu Mwenyezi akamfanikishe mtaalamu huyu mchapakazi hodari wa Africa.
Aimen 🙏
 
CCM ndoo wamuombeee
 
🥱🥱🚮🚮🚮🚮
 
Kwanza kabisa, thibifisha huyo Mungu yupo kweli.
 
Naihitaji namba ya simu ya huyu mdada mzuri. Nisaidie tafdhali. Naona anafaa kabisa kuwa wife material wangu.
 
Sisi tumezoea kujinyenyekeza kwa Mama, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Ni matumaini yetu atambariki Dr. Janabi hicho cheo.
 
Kama Papa katokea Marekan ,Chini ya Trump , nahapa, JANABI LABDA SHINDE NJAA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…