Watanzania tupige magoti kwa Mungu kumuombea Prof. Janabi ashinde Ukurugenzi WHO kanda ya Afrika

Kwa hiyo unataka wakamatwe pasipo kosa? Kama unaona unaonewa nenda mahakamani akafungue shauri
Mahakama zipi?

Huoni watu wamekamatwa na kupigwa kwa kwenda kuhudhuria kesi mahakamani?

Sheria ipi inaruhusu polisi kupiga watu wanaokwenda kusikiliza kesi mahakamani?

Sheria ipi inaruhusu polisi kupiga wanahabari wanaoripoti kesi mahakamani?

Huoni nyufa hapo kuwa mahakama inaingiliwa hivyo mzania wa haki haupo?
 
Kama hana vigezo hata uombaje haendi mahali

Ulaya hamna NEC wala jecha
 
Ukifanya fujo mahakamani tegemea kukutana na mkono wa dola maana huwezi ukaachwa uendelee kuharibu amani na utulivu wa eneo hilo
 

Kazi za kupigiwa kura, sioni kama ni rahisi kivile lakini.
 
Atashinda kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu
Kule unashinda kwa vigezo na merits si imani. Kule ni ulaya na ulaya hamna shortcur, kushinda ni vigezo na vile ume ji represent. Anashinda na wasomi wakubwa wenye cv kubwa na uzoefu zaidi yake kutoka mataifa yaliondelea
Sala zako hazina msaada
 
Yeye aendelee kutibu wagonjwa pale muhimbili hawezi kushinda yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…