Watanzania tupige magoti kwa Mungu kumuombea Prof. Janabi ashinde Ukurugenzi WHO kanda ya Afrika

Kwani nape hajaenda kufanya mandingo maporini??

Akale anapopeleka mboga...
 

Mbona tayari mshatumia silaha zote za maangamizi. Sisi ambao hatuna cha kufanya, tunashangaa tu, sasa hivi unafikiri sala zetu zitaokoa jahazi?

Kiufupi, Mwenyezi Mungu ampe kila mtu kile anachostahili. Tena kwa haki. Kwa jinsi Tanzania yetu ilivyo, naombea hilo tu.
 
muombee wewe anaempa marinda yako
 
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na Prof.Mohamed Janabi, Mungu Mwenyezi akamfanikishe mtaalamu huyu mchapakazi hodari wa Africa.
Aimen πŸ™
Kwanini huko msitume policcm na wafanyakazi wengine ili mpitishe kura feki kama hivi.πŸ‘‡
 
Sijasoma yote ila hio kazi itamnufeusha yeye na familia yake mimi anihusu kwa lolote, haitatokea anipe dawa bure, nitaendelea kugharamia matibabu tangu kama kawa, hivyo .Kwa hio ajjombee na kujipambania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…