GE2025 Watanzania tusiandamane nenda ka tick 29 Oct au kaa nyumbani kwa usalama wako

GE2025 Watanzania tusiandamane nenda ka tick 29 Oct au kaa nyumbani kwa usalama wako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.

Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu.

Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko.
Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote.

Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
 
Kutiki ndiyo upuuzi gani wewe mzee? Hivi mtu kabisa unachukua na kitambulisho unatoka kwenda kupiga kura? Utakuwa ni bonge la tahira nakuhakikishia.

Huo utahira kamwe hautokaa uni kumbe
 
29 October haijulikani kwa kila kilichopangwa kwamba ni kipi kitafanikiwa kati ya Uchaguzi na maandamano

Huwenda kukafanyika yote kwa wakati mmoja, ama kusifanyike yote kwa wakati mmoja, ni bora kusifanyike yote kwa wakati mmoja

Yakifanyika yote, kuna hatari mno ya watakaokwenda kupiga kura, nao wakarudi vilema ama kutkurudi kabisa,

Hao waandamanaji, kuna ambao tayari wameshasema, wakipotea, ndugu zao wasihangaike kuwatafuta, Je hao ambao watakwenda kupiga kura ikatokea la kutokea itakuwaje?

Hekima ya kufanikisha suala la kupiga kura inamhitaji Mwenyezi Mungu asaidie
 
Mliharibu mwanzoni kwa kuanza na dharau kwa watanzania, mkadhani walikuwa wanatania.

Watanzania wanataka kula chakula hicho hicho mnachokula mkawanyima maana ni keki yao ya Taifa wakati nyie hamtaki wakaljbke kwenye hizo sahani zenu.

Hakika kimeumana. Mshaambiwa mara nyingi acheni ulafi, ulafi ni aibu ..ona sasa mnahaha😥😥😥
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Halafu unawezaje kutofautisha maandamano ya kikundi Cha watu kuelekea kituo Cha kupiga kura na maandamano ya watu kuzuia uchaguzi siku hiyo hiyo?

Pressure ya Hawa askari wasio na maarifa ndio itazuia uchaguzi usifanyike, wala SI waandamanaji 🤔
 
Ungejibu pia,

Hayo mabadiliko ya kimfumo yajayo mbeleni, yatawafaa vipi watZ wasio na hatia waliotekwa na kuuwawa?

Hasira ni muhimu itoke nje Ili kumuepusha mtu kupasuka kifua.

Ulitaka kujenga vyema, bomoa kwanza.
 
Back
Top Bottom