Mwenye kupiga kura aende, na WA kuandamana aende,Tupige kura tusipige utasikia wameshinda kwa asilimia 99%
Sasa polisi ndiye mwamuzi hapo kati.
Mwenye kupiga kura aende, na WA kuandamana aende,Tupige kura tusipige utasikia wameshinda kwa asilimia 99%
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.
Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu.
Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko.
Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote.
Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
Anahitaji kura za ndiyo ili atawale.Hahitaji kura Ili kutawala huyo.
Ccm hawahitaji kura ya yeyote,Anahitaji kura za ndiyo ili atawale.
Hayo ni kwa mujibu wakoCcm hawahitaji kura ya yeyote,
Kura wanazo kwenye mabegi.
Hawahitaji kura za wananchi,Hayo ni kwa mujibu wako
Mimi naisi huyu ndio mzee butiku mwenyewe kaunga juhudi ukiangalia mabandiko ya zamani na ili la leo.Kwamba waogope kufa wakiandamana ilhali watu wanatekwa na kupotezwa bila hata kuandamana.
Ushauri wako unachanganya wasomaji.
Kila mtu atumie utashi wake.
We nae mbwa tuNdugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.
Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu.
Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko.
Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote.
Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
Siyo orijino huyu...!
Hahaha, angalia msije kuwamaliza mashabiki wa yanga mkuu.We Mjinga, kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.
Umeandika pumba tupu...Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.
Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu.
Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko.
Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote.
Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
Ni yeye?Msigwa huna akili