GE2025 Watanzania tusiandamane nenda ka tick 29 Oct au kaa nyumbani kwa usalama wako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Viongozi wamejaa dharau kwa kutishia wananchi waiogope serikali huku wakijisahau kua serikali ni ndo hao unao watisha ww wamekuamini tu uwaongoze sasa ukijipa umuhim wakati ww hawakutaki ww huoni huo ni uchizi...Dharau imezidi sana mpaka vibyongo vinatufokea ahaaaaaaa hapana bhana
 
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.

Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu.

Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko.
Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote.

Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
A bit too late
 
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea. Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu. Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko. Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote. Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
Tuonyesha ulipoitupa maiti ya Ben Saanane japo tukaizike mifupa yake .
 
@TumainEl. Mkuu uliangaliza na tumeona yaliyotokea naona hujatia neno tangu maelfu ya wananchi wauawe kwa maandamano. Nikuombe kama hutojali tia neno lako tunatokaje hapa au mama ndo kaamua kushikilia shilingi mpaka 2030
 
D
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.

Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu.

Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko.
Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote.

Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
Duuuuh hii ilinipita
 
Unafaa kuwa kiongozi muelekezaji wa GenZ na wanaharakati wote, ila inabidi uwe na uhakika na matokeo ya haraka maana hiki kizazi cha leo hakinaga kusubiri sana na hili ndo tatizo lililopelekea yakutokea yakatokea siku ya kupiga kura
 
Back
Top Bottom