Kutiki ndiyo upuuzi gani wewe mzee? Hivi mtu kabisa unachukua na kitambulisho unatoka kwenda kupiga kura? Utakuwa ni bonge la tahira nakuhakikishia.Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.
Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda ibada kisha rudi nyumbani utakuwa umefanya jambo la busara sana kuliko kwenda kwenye maandamano yatakayo kuletea ukilema na vifo wakati Mungu anampango mzuri na hili Taifa naomba niwaulize wapo wapi akina Nyerere kama wapo basi nendeni kwenye maandamano ila kama wamelala embu tufanye mambo mengine yenye tija kwa ajili ya kesho yetu kuna siri kubwa sana kwenye mambo yakitaifa ambayo kama wa Tz hatuna budi kuangalia kwa jicho la Tatu.
Bado tuna kaz yakulijenga taifa na jeshi lenu lipo imara kuwalinda na sio kwa siasa. Wamesema wanaweza wanauwezo wakutuongoza embu basi tuwape nafasi wakiboronga basi sheria itafanya kaz ila sio machafuko.
Mabadiliko makubwa yakimfumo ktk taifa yanakuja naomba niwaambie hili wala tusiharibu taifa kwa huu uchaguzi big change is comming bila umwagaji dam ya yoyote.
Vijana tufanye kaz nchi hii itajengwa na vijana kwa kufanya kaz kwa bidii na kuwa wenye akili nawaomba msiogope. Msiogope Tanzania bora inakuja bila kumwaga dam ya mtanzania awaye yeyote naomba mniamini yakuwa Mungu anazungumza na Taifa. Amen
Tupige kura tusipige utasikia wameshinda kwa asilimia 99%Halafu unawezaje kutofautisha maandamano ya kikundi Cha watu kuelekea kituo Cha kupiga kura na maandamano ya watu kuzuia uchaguzi siku hiyo hiyo?
Pressure ya Hawa askari wasio na maarifa ndio itazuia uchaguzi usifanyike, wala SI waandamanaji 🤔
Hahitaji kura Ili kutawala huyo.Hamna kukaa nyumbani waende wakatiki
#chagua CCM #Chagua SSH