GE2025 Watanzania tusiandamane nenda ka tick 29 Oct au kaa nyumbani kwa usalama wako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Viongozi wamejaa dharau kwa kutishia wananchi waiogope serikali huku wakijisahau kua serikali ni ndo hao unao watisha ww wamekuamini tu uwaongoze sasa ukijipa umuhim wakati ww hawakutaki ww huoni huo ni uchizi...Dharau imezidi sana mpaka vibyongo vinatufokea ahaaaaaaa hapana bhana
 
A bit too late
 
Tuonyesha ulipoitupa maiti ya Ben Saanane japo tukaizike mifupa yake .
 
@TumainEl. Mkuu uliangaliza na tumeona yaliyotokea naona hujatia neno tangu maelfu ya wananchi wauawe kwa maandamano. Nikuombe kama hutojali tia neno lako tunatokaje hapa au mama ndo kaamua kushikilia shilingi mpaka 2030
 
D
Duuuuh hii ilinipita
 
Unafaa kuwa kiongozi muelekezaji wa GenZ na wanaharakati wote, ila inabidi uwe na uhakika na matokeo ya haraka maana hiki kizazi cha leo hakinaga kusubiri sana na hili ndo tatizo lililopelekea yakutokea yakatokea siku ya kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…