Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Nafikiri mama ni moderate kidogo kama JK. Ingekua kipindi cha mwendazake angemualika Putin maana tabia zao zinaendana.In the near future Rais SSH ni vizuri akimwalika rais Putin kuitembelea Tanzania hata kwa muda mfupi. We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao. To hell with the imperialists 👎👎
labda alikuwa field...Mkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?..
In the near future Rais SSH ni vizuri akimwalika rais Putin kuitembelea Tanzania hata kwa muda mfupi. We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao. To hell with the imperialists 👎👎
JK alimualika, na ilikuwa aje kipindi cha mwishoni kabisa cha uongozi wake. Kama kawaida mabebari Waka flex muscles.. Mambo hayakwenda. Na hapo mchina alishakuja hapa. Hivyo majamaa wakaona nchi inakwenda east completely.Nafikiri mama ni moderate kidogo kama JK. Ingekua kipindi cha mwendazake angemualika Putin maana tabia zao zinaendana.
Tabia za kifashisti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenya kaambiwa apambane na njaa kwanza
Hii inabidi tupate ushahidi kutoka kwa MunangagwaMkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?..
Alikuwa anasoma Chuo Kikuu ...1973 alikuwa field practicals....Kaole, Temeke na Mazimbu....
Labda alikuwa likizo!Mkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?..
MIMI siyo ccm, soma historia ya nchi yako vizuri ujue ulikotoka, ulipo na anapotakiwa kwenda.Matango pori ya maccm
Kumbe put-in hapendi vita?!!!We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao.
Afadhali hakumualika huyo mshenzi. Angetuletea gundu tu.JK alimualika, na ilikuwa aje kipindi cha mwishoni kabisa cha uongozi wake. Kama kawaida mabebari Waka flex muscles.. Mambo hayakwenda. Na hapo mchina alishakuja hapa. Hivyo majamaa wakaona nchi inakwenda east completely.