Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

Tukitaka kuendelea tuitazame dunia na wanadamu kuliko wazungu, waafrika,
Wachina, waarabu nk.
Namna gani binadamu alivyoweza kuimudu dunia hii na kusonga mbele au alivyoshindwa na kurudi nyuma.
Hata sasa huhumu Afrika kuna tofauti kubwa sana kati walionacho na wasio nacho. Hawa wasio nacho watawazama walionacho kama wazungu na kama fhulmati kwao au wanapaswa zaidi kufikiria ufhaifu wao?
 
Hii iwafikie viongozi wetu,

Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.

Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.

Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.

Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250

Mbona nguvu nyingi inatumika kusambaza huu uongo?. Yani Putin huo mwaka alikuwa hajaingia jeshini Wala KGB. Halafu hata picha ukiangalia Ni ya Putin kweli?.
 
Sawa, kubalini tu jamaa hana mpinzani. Marekani na Nato wataleta sababu nyingi ila washaogopa mziki wa urusi

Wanaiogopa Urusi gani?. Putin Ni mjinga untekaje nchi ambayo wananchi wake wanapigana kulinda?. Yeye angebaki luhansk na donestk basi. Unataka kuchukua nchi kwa kuua raia wake. Pumbavu kweli.
 
Kwa taarifa tu, kiwanda cha AK-47 kiko Kiev
Hiyo silaha ilianza kuundwa mwaka 1943, ikakamilika na kuanza kutumika 1947..
Ukraine ni taifa lililoanza kuwepo 1991 umoja wa Soviet (USSR) uliposambaratika
 
Hiyo silaha ilianza kuundwa mwaka 1943, ikakamilika na kuanza kutumika 1947..
Ukraine ni taifa lililoanza kuwepo 1991 umoja wa Soviet (USSR) uliposambaratika
Mkuu umejichanganya sana. Hicho kiwanda cha kuunda hiyo silaha mwanzoni kilijengwa huko Ukrain wakati Ukrain yenyewe ikiwa sehemu ya USSR, walipojitenga kiwanda na technolgy vikabakia. Inawezekana sana kuwa Urusi walijenga tena kingine cha kuendelea kuzalisha, hilo halihusiani na mchango wangu.
 
In the near future Rais SSH ni vizuri akimwalika rais Putin kuitembelea Tanzania hata kwa muda mfupi. We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao. To hell with the imperialists [emoji107][emoji107]
Kwani raisi wetu yuko upande gani. NATO AU USSR

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hii iwafikie viongozi wetu,

Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.

Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.

Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.

Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Si kweli hata kidogo. Huyu si Putin kwenye mwaka 1973!!
Putin alizaliwa mwaka 1952. Wakati ule alikuwa na umri wa miaka 21, bado mdogo na mwanafunzi wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha Leningrad alikosoma 1970-1975.
Acha upuuzi!!!
 
Back
Top Bottom