Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Hii iwafikie viongozi wetu,

Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.

Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.

Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.

Kapicha haka hapa.
Screenshot_20220225_053024.jpg
 
In the near future Rais SSH ni vizuri akimwalika rais Putin kuitembelea Tanzania hata kwa muda mfupi. We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao. To hell with the imperialists 👎👎
Nafikiri mama ni moderate kidogo kama JK. Ingekua kipindi cha mwendazake angemualika Putin maana tabia zao zinaendana.
Tabia za kifashisti
 
Amualike kama mwenyekiti wa ccm maana ccm ndio chama kinachoamini kwenye matumizi ya mabavu na sio ushawishi.
 
Nafikiri mama ni moderate kidogo kama JK. Ingekua kipindi cha mwendazake angemualika Putin maana tabia zao zinaendana.
Tabia za kifashisti
JK alimualika, na ilikuwa aje kipindi cha mwishoni kabisa cha uongozi wake. Kama kawaida mabebari Waka flex muscles.. Mambo hayakwenda. Na hapo mchina alishakuja hapa. Hivyo majamaa wakaona nchi inakwenda east completely.
 
Mkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?..
Hii inabidi tupate ushahidi kutoka kwa Munangagwa
 
Mkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?..
Labda alikuwa likizo!
 
We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao.
Kumbe put-in hapendi vita?!!!

Na Kwa taarifa yako AK-47, yaani 'Avtomat Kalashnikova 1947' au kwa Kimalkia, 'Automatic Kalashnikov 1947', ni silaha ya Warusi iliyoasisiwa mwaka huo, na ambayo iMEUZWA sana duniani kote na kusababisha mauaji ya mamilioni ya binadamu!!

Warusi ni mabeberu kama mabeberu wengine na ni wababe kwny biashara ya silaha🙄
 
JK alimualika, na ilikuwa aje kipindi cha mwishoni kabisa cha uongozi wake. Kama kawaida mabebari Waka flex muscles.. Mambo hayakwenda. Na hapo mchina alishakuja hapa. Hivyo majamaa wakaona nchi inakwenda east completely.
Afadhali hakumualika huyo mshenzi. Angetuletea gundu tu.
Kuukaribisha ujamaa ni Sawa na kupalilia umasikini tu
 
Back
Top Bottom