Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Nchi nyingi za Ulaya mashariki ni masikini tu compare to magharibi.Sisi huwa hatufungamani na upande wowote, Putin si ana vijipesa au?🐒
Halafu wana ubaguzi hatari sana hasa kwa watu weusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi nyingi za Ulaya mashariki ni masikini tu compare to magharibi.Sisi huwa hatufungamani na upande wowote, Putin si ana vijipesa au?🐒
Na aina ya Siasa zetu ni mchanganyiko wa western values, china na Russia + africaHii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Hamna viongozi wapumbavu kama wa Kenya kazi yao kujipendekeza kwa US na Uingereza ili kuonekana nawenyewe wapo pamoja nao wakati raia wao wana hali mbaya ya njaa.......
Tunaweza kuingilia kwa kulaani vikali baaas kisha tukarudi kulalaHata tukiingilia hatutaongeza wala kupunguza chochote
Mkuu, level ya umaskini ya hao wazungu wa mashariki na watu weusi zina uwiano?Nchi nyingi za Ulaya mashariki ni masikini tu compare to magharibi.
Halafu wana ubaguzi hatari sana hasa kwa watu weusi
True kabisa.Njaa tu kitu kidogo wameshindwa kuondoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenya kaambiwa apambane na njaa kwanza
hahahaha, hii ni fake bana
Zaidi ya upumbavu wa mavita na kuua watu,Putin amesaidia nini kwenye uchumi wetu?Hii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Pumbavu,ila kwa sababu hizi Nchi za kijamaa huwa hazijali humanity na welfare ya watu ni sawa,wafe sawa wasife sawa kikubwa sifa za kijinga.Hii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Kuna watu sijui Magufuli aliwafanya Nini, kila thread lazima waweweseke na Magufuli.Nafikiri mama ni moderate kidogo kama JK. Ingekua kipindi cha mwendazake angemualika Putin maana tabia zao zinaendana.
Tabia za kifashisti
Uliza ndugu, jamaa na yatima wa Azory Gwanda, Ben Saa8, nk, utapata jibu!Kuna watu sijui Magufuli aliwafanya Nini, kila thread lazima waweweseke na Magufuli.
Wanyalu wamepelekewa moto.....hahhahaaa
Nchi za Africa hakuna wa kujaribu kunyenya mdomo, hivyo ni vita vya matajiri wa ulimwengu, sisi wacha tuhangaike kuchonga madawati ya vijana wetu mashuleni.
Wanafunzi mliosomea Urusi nafikiri mnajua kuwa mrusi ni mbaguzi wa rangi nyeusi namba moja dunianiNchi nyingi za Ulaya mashariki ni masikini tu compare to magharibi.
Halafu wana ubaguzi hatari sana hasa kwa watu weusi