Hii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
MIMI siyo ccm, soma historia ya nchi yako vizuri ujue ulikotoka, ulipo na anapotakiwa kwenda.
Labda alikuwa likizo!
Sawa, kubalini tu jamaa hana mpinzani. Marekani na Nato wataleta sababu nyingi ila washaogopa mziki wa urusi
Hiyo silaha ilianza kuundwa mwaka 1943, ikakamilika na kuanza kutumika 1947..Kwa taarifa tu, kiwanda cha AK-47 kiko Kiev
[emoji23][emoji23][emoji23]labda alikuwa field...
Hivi hii kweli?!!
Mkuu umejichanganya sana. Hicho kiwanda cha kuunda hiyo silaha mwanzoni kilijengwa huko Ukrain wakati Ukrain yenyewe ikiwa sehemu ya USSR, walipojitenga kiwanda na technolgy vikabakia. Inawezekana sana kuwa Urusi walijenga tena kingine cha kuendelea kuzalisha, hilo halihusiani na mchango wangu.Hiyo silaha ilianza kuundwa mwaka 1943, ikakamilika na kuanza kutumika 1947..
Ukraine ni taifa lililoanza kuwepo 1991 umoja wa Soviet (USSR) uliposambaratika
Ni ngumu kidogo kufahamu muda wa kujiunga na jeshi kwa watu 'wasiojulikana'!Likizo, wakati alikuwa hajajiunga na jeshi.
Kwani raisi wetu yuko upande gani. NATO AU USSRIn the near future Rais SSH ni vizuri akimwalika rais Putin kuitembelea Tanzania hata kwa muda mfupi. We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao. To hell with the imperialists [emoji107][emoji107]
Hakuna nchi au jumuia inaitwa USSR bwashee!
Hyu jamaa anastahili kuichapa Nato na Washirika wakeHii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Si kweli hata kidogo. Huyu si Putin kwenye mwaka 1973!!Hii iwafikie viongozi wetu,