Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Leo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake.

Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo kuwa kwenye mpaka na Dodoma.

Huyu anatuona sisi matajiri kwa sababu tunalipa nauli kupanda mabasi yake bila kulalamikia bei! Ili ajue kuwa hali zetu kiuchumi ni kususia mabasi yake.
 
Leo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo kuwa kwenye mpaka na Dodoma.
Huyu anatuona sisi matajiri kwa sababu tunalipa nauli kupanda mabasi yake bila kulalamikia bei! Ili ajue kuwa hali zetu kiuchumi ni kususia mabasi yake.
ili tutembee kwa miguu sio 🐒

uliwahi kushauri tusitumie mtandao flani wa simu, kweli ili make sense?🐒
 
Naona najadiliana na akili ndogo, asante kwaheri sikujibu tena.

Na Wewe ukadanganyika? 🐼

Mzee Shabiby alikufa kwa ajali tena aligongwa na Basi lake alipoenda kuchukua hesabu

Ahmed na mdogo wake wakarithi Mali

Very simple 🐼
Naona unachochea mfarakano tushindwe kuwanyoosha wabunge wanaotuona sisi matajiri kuliko wao.
 
Back
Top Bottom