Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Leo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo kuwa kwenye mpaka na Dodoma.
Huyu anatuona sisi matajiri kwa sababu tunalipa nauli kupanda mabasi yake bila kulalamikia bei! Ili ajue kuwa hali zetu kiuchumi ni kususia mabasi yake.
Wazo zuri, ila kwa uzombie wetu hilo halitekelezeki.