Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakuna alichokiongea chenye unafuu kwa mvuja jashoUwe unasoma habari mpaka mwisho so unasoma bichwa la habari na kupanic alichosema mbunge si kibaya na lina tija kwa wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna alichokiongea chenye unafuu kwa mvuja jashoUwe unasoma habari mpaka mwisho so unasoma bichwa la habari na kupanic alichosema mbunge si kibaya na lina tija kwa wote
Itabaki kua mtazamo wakoHakuna alichokiongea chenye unafuu kwa mvuja jasho
Mmawia mbona siku za karibuni umekuwa mpumbavu sana? Nini kimekupata?Wewe mwenyewe huna akili
Kumtenganisha Shabiby Mbunge na Shabiby buses.Nimedanganya nini?
Aliekupatia buku ya bundle leo katuweka kwenye matatizo sana!Kwi kwi kwi kwi kwi kwi eti sina uzoefu wakati wewe ndiye kibaka mkuu
NJaa!Mmawia mbona siku za karibuni umekuwa mpumbavu sana? Nini kimekupata?
Na safari mashamba yako huko mara umeletewa mkuu wa mkoa mwanajeshi usije ukatuletea shida kukuwekea dhamana!Punguza bangi
Dadeeki umekumbuka kilevi chako pendwa!Kimpumu mbaya sana kwa afya ya akili
BMDodoma usipopanda shabibu upande bus gani sasa.
Kama abood ni morogoro.
Superfeo Songea njombe
Kabisa hawa magabachori wanatuharibia sana nchiLeo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo kuwa kwenye mpaka na Dodoma.
Huyu anatuona sisi matajiri kwa sababu tunalipa nauli kupanda mabasi yake bila kulalamikia bei! Ili ajue kuwa hali zetu kiuchumi ni kususia mabasi yake.
we mwehu,bei ya mabasi hapangi yeye,kutoa maoni bungeni ni kazi yake,na pia hiyo kodi anayopendekeza ikikubalika inaenda bika ya afya ambako watanzania wote watafaidikaLeo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo kuwa kwenye mpaka na Dodoma.
Huyu anatuona sisi matajiri kwa sababu tunalipa nauli kupanda mabasi yake bila kulalamikia bei! Ili ajue kuwa hali zetu kiuchumi ni kususia mabasi yake.
Susa wewe mimi nitapandaLeo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo kuwa kwenye mpaka na Dodoma.
Huyu anatuona sisi matajiri kwa sababu tunalipa nauli kupanda mabasi yake bila kulalamikia bei! Ili ajue kuwa hali zetu kiuchumi ni kususia mabasi yake.
Mtumwa ukimuachia huru utashangaa kumkuta amerudi na kujificha stoo ya majembe.Susa wewe mimi nitapanda
Vitako vyako vimenenepa unajiona umekua, wee bado haujavunja ungo.we mwehu,bei ya mabasi hapangi yeye,kutoa maoni bungeni ni kazi yake,na pia hiyo kodi anayopendekeza ikikubalika inaenda bika ya afya ambako watanzania wote watafaidika