Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
ili tutembee kwa miguu sio 🐒Leo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo kuwa kwenye mpaka na Dodoma.
Huyu anatuona sisi matajiri kwa sababu tunalipa nauli kupanda mabasi yake bila kulalamikia bei! Ili ajue kuwa hali zetu kiuchumi ni kususia mabasi yake.
Huyu alinunua basi la kwanza akiwa na umri mdogo wakati wa Nyerere, na nadhani alianzia pale Msimbazi kwa Dar na Gairo pale kwenye kituo cha mafuta.Mabasi ya baba yake 🐼
Mrithi
Mleta hoja maana yake kuonyesha hisia zake kuwa wazo la mheshimiwa mbunge halina mashiko wala mantiki na halitekelezeki.ili tutembee kwa miguu sio [emoji205]
uliwahi kushauri tusitumie mtandao flani wa simu, kweli ili make sense?[emoji205]
Mzee Shabiby ana historia ndefu Sana huyo mbunge Ahmed alikuwa fundi tu hapo Gerejini kwao Gairo!Huyu alinunua basi la kwanza akiwa na umri mdogo wakati wa Nyerere, na nadhani alianzia pale Msimbazi kwa Dar na Gairo pale kwenye kituo cha mafuta.
Mimi niniyo miguu, Tanzania ya sasa kila dakika kunabasi linapita Dodoma, wewe ni kati ya watanzania halisi wanaopenda kukandamizwa na wanasiasa.Mleta uzi una akili kama za Lema... ukisusia mabasi ya Shabiby utapanda fisi?
Nimekueleza alichokisema Shabiby mbunge alipoelezea alivyoanza.Mzee Shabiby ana historia ndefu Sana huyo mbunge Ahmed alikuwa fundi tu hapo Gerejini kwao Gairo!
Siku ukiweza kutofautisha kati ya Shabiby mtu na Shabiby Basi, ndo siku utaweza kuwa na akili.Mimi niniyo miguu, Tanzania ya sasa kila dakika kunabasi linapita Dodoma, wewe ni kati ya watanzania halisi wanaopenda kukandamizwa na wanasiasa.
Mabasi ya baba yake 🐼
Mrithi
Naona najadiliana na akili ndogo, asante kwaheri sikujibu tena.Siku ukiweza kutofautisha kati ya Shabiby mtu na Shabiby Basi, ndo siku utaweza kuwa na akili.
Na Wewe ukadanganyika? 🐼Nimekueleza alichokisema Shabiby mbunge alipoelezea alivyoanza.
Mzee Shabiby aliacha yard Kubwa pale Sinza Mori ndio collateral yao ya MikopoKuna mkono wa mstaafu pia kwenye hotel zake.
Naona najadiliana na akili ndogo, asante kwaheri sikujibu tena.
Naona unachochea mfarakano tushindwe kuwanyoosha wabunge wanaotuona sisi matajiri kuliko wao.Na Wewe ukadanganyika? 🐼
Mzee Shabiby alikufa kwa ajali tena aligongwa na Basi lake alipoenda kuchukua hesabu
Ahmed na mdogo wake wakarithi Mali
Very simple 🐼