Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?

Ukiacha kutetea DP world tutakuunga mkono
Mkuu JakiDubai, kuna watu wanaandika jf ili waungwe mkono?, utaniunga mkono ili iweje?.
Anyway karibu, hili ni moja ya mabandiko yangu kuunga mkono IGA ya DPW na Bandari zetu, angalia tuu tarehe ya bandiko hili ili ulinganishe na wengine, na ikitokea una uwezo wa kusoma contents, soma contents uone jinsi ninavyoisupport DPW na Bandari zetu!.

Karibu

P
 
Mzee unatupeleka mbele, unaturudisha nyuma! Kuna wakati unakuja na hoja za Ki great thinker kama hizi!
Asante
Kuna wakati unaunga mkono hata vile vitu visivyoeleweka!!
Watu wengine ni kama YULE aliyekuja kwa ajili ya waliopotea, hivyo kwenye hivyo visivyoeleweka ndio naviunga mkono ili vieleweke!. Hivyo ndivyo ma realist tulivyo tunasimama na ukweli daima!.
All in all, nadhani ifikie wakati CCM ikubali kuwaachia wengine madaraka, ili tuone pia sura zao halisi.
Kuna wengi wana wish kama wewe, tatizo ni wengine hao ni wapi?.
Na hii ni baada ya kukubali kuwepo na Tume huru ya uchaguzi, na pia Katiba yenye maslahi kwa Taifa!
Naunga mkono hoja
Na siyo maslahi kwa chama fulani cha siasa, au watu fulani wenye ushawishi.
Naunga mkono hoja.
P
 
Kama bunge linahusika kutunga sheria batili basi halistahili kuitwa tukufu, au kama ni utukufu, basi huo utakuwa utukufu wa shetani.

Ajabu leo umeuiona ubovu wa ile IGA na kuusema wazi wazi, sasa kwanini TEC siku ile walipotoa maoni yao na kuupinga ule mkataba unaokiri leo una mapungufu uliwashambulia?

Hii michezo ya kitapeli unayoifanya sio mizuri, inakufanya siku hizi uonekane mtu asiye na umakini wowote.
 
Kuna wajina wako alishawahi kuandika hapa JF kuwa kanisa katoliki huwa limetenga kumzika mtu, kwa maandiko yako na hilo limo"? "...ni kweli kuna makanisa ni hodari kwa kuwatenga waumini..."
jikumbushe:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…