Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania ,

Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.

Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.

Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.

Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.

Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.

Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.
Screenshot_20250228-164846_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania ,

Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.

Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.

Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.

Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.

Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.

Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135

Mara moja moja uwe una wapost Mama na Baba yako wao ndio walio kulea na kukutunza, acha kutwa nzima kuabudu Binadamu mwenzako.
 
sema wewe
 
Back
Top Bottom