Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Mara moja moja uwe una wapost Mama na Baba yako wao ndio walio kulea na kukutunza, acha kutwa nzima kuabudu Binadamu mwenzako.
😝😝😝😝yeye ni mfano halisi wa baba na mama yake

Changanya na za kwako
 
Acheni uzushi , uchonganishi na uongo. Serikali yetu ipo kwa ajili ya kulinda Maisha ya watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa.
Nani mkasema ni uzushi?!



watanzania wa Sasa sio mazwazwa tuna macho na pia tunaelewa mtukome
 
Upo kundi gani kwani? Wanamtandao au sukuma gang? Simama kuhesabiwa kwanza tujue kama we mwenzetu, usitusemee watanzania wote hatujakutuma, usijipendekeze
 
Lucas, lini utamsifia Mwenyezi Mungu kwa uumbaji wake na kukupa pumzi muda wote?
Lucas, lini utawasifia wazazi wako kwa kukuzaa (japo sijui walikuleaje)
Kila siku kusifi hata mambo ambayo hayapo kabisa na hayalingani na uhalisia!
 
Ww Wacha mara moja kutumia mawazo Yako kufitinisha watu ni marufuku kisheria kuandika habari na kuweka picha bila ridhaa ya mwenye nayo acha kufatisha mikumbo acha mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…