Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Na huo utekaji NAO ni muujiza!!?mbona hakemei!!?

Au utekaji unakiongezea chama kura kiasi gani!!?

Kwako Lucas!!
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania alishatoa maelekezo mazito sana juu ya kusakwa na kukamatwa kwa wahusika wote. Tuendelee kuwa na imani na vyombo vyetu vya dola.
 
Hakika...kwani hakuna mwingine aliyeapa kuilinda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zaidi yake
 
Hakika...kwani hakuna mwingine aliyeapa kuilinda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zaidi yake
Kaangalie na fuatilia kiapo alichokula Rais wetu Mpendwa na kile wanachokula wengine . Utaona namna kiapo cha Rais Wetu Mpendwa namna kilivyo kizito na kinachombebesha Taifa hili mabegani pake.
 
Mmemaliza kubaka. kuuwa na kuvunja miguu raia ambao hawana silaha.

Umeahidiwa cheo gani kwa sababu unalazimisha haki ya raia ambayo haipo.
 
This time mama akuone sasa ili nawe uokote okote kidogo😅😅, maana uko na consistency nzuri sana licha ya kwamba karibia 95% ya watu wa jukwaa hili huwa hawakubaliani na maandiko yako lakini pace yako haijawahi kupungua.

Evelyn Salt kama uko na ndugu yako hajaolewa fanya umuunge na huyu bwana, maana anaonekana hata siku akimfumania live bila chenga wala haitopunguza kile kiwango cha upendo wake, sana sana ataenda kuwapikia ugali ili wale washibe baada ya jambo lao la kuunganisha mitetemo kukamilika na mikono atawanawisha huku mguu mmoja ameukunja😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…