Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Huyu shemeji yangu ni......

 
Watanzania wapi wa wapi? Ndugu zako wapi? Wewe ndugu zako ni watekaji tu na watanzania wenye Akili Timanu hawataki kuisikia ibirisi mtekaji mkoloni kaburu toka Zanzibar
 
We
Wewe na machawa wenzako ndo mfanye hiyo kazi. Watanzania tumechoka na utekaji, uuaji, unyanyasaji na upotezwaji wa ndugu zetu.
 
Ng'ombe akishashiba majani yake, kinachofuata ni kushusha tu mbolea ya samadi.
 
Acheni uzushi , uchonganishi na uongo. Serikali yetu ipo kwa ajili ya kulinda Maisha ya watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa.
Wewe mwehu ni mnufaika wa utekaji ndiyo maana umejitoa fahamu kutetea ushetani wenu
 
"Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake."
Tunachokiona mbele ni ukombozi kutoka kwa wakoloni weusi na machawa wao.
 
We

Wewe na machawa wenzako ndo mfanye hiyo kazi. Watanzania tumechoka na utekaji, uuaji, unyanyasaji na upotezwaji wa ndugu zetu.
Muungano ufe kabla mzanzibar katili Dikteta hajawamaliza watanganyika kwa kafara za utekaji, Tanganyika idai uhuru wake
 
"Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake."
Tunachokiona mbele ni ukombozi kutoka kwa wakoloni weusi na machawa wao.
ccm imejaa ibirisi wengi sana ni chama cha kishetani
 
Mmeshindwa kumlinda mitandaoni na Gen Z wa kenya wanvua mpaka mbumbusi inakuwa wazi... 😂😂
 
Naambiwa kila wakati ni kububujikwa na machozi, hivi una watoto? Ipo siku watakuja ingia hum jf waone baba yao alivyokuwa anabubujikwa na machozi hata kwa mambo ambayo hayamuhusu, wajukuu wa mwenyekiti wako, watoto wake ,habubujiki machozi ,wewe kikufanyacho kububujikwa na machozi nini kama sio unafiki na afya ya akili
 


Unataka tuseme tutekwe
 
Wananchi tunamuungq mkomo mama kwa aslimia Mia moja.Wananchi tuko.psmoja naye,,maendeleo tunayaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…