Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

ibirisi ccm inaenda kuwa kama KANU ya kenya utekaji unawatafuna
 
Utekaji ushetani wako ndiyo ukweli?
Mnatekana wenyewe,kwa kugombea vyeo kwenye siasa,,Kwenye nyumba za ibada,kuchukuliana wanawake,kudhulumiana kibiashara,ugomvi wa familia,,halafu mnasingizia serekali.Hao wanandoa wameuliwa Moshi,mwanamke ni mwanakwaya,yupo mchungaji kauliwa pia kwa ugomvi wa uchawi,baada ya kufariki kateksta wa kikatoliki,wapo familia ya kihindi Tanga,wameuliwa,pamoja na dada wa kazi,yupo huko Tanga,aliyechinjwa na kuzikwa ,,Yupo aloyemchoma moto mkewe kwa mkaa ,kigamboni,wapo waliochomana moto kwenye nyumba, na matukio mengi ya uuwaji na wote sio wanasiasa,mtasingizia serekali.Tumieni akili.
 
Sisi watz hatumtaki ni chawa tu ndo mnajitekenya na kucheka wenyewe!! sisi hatuchek na nyiee
 
Sisi watz hatumtaki ni chawa tu ndo mnajitekenya na kucheka wenyewe!! sisi hatuchek na nyiee
 
Jingaaa, tumlinde kwa gharama ipi, unaacha kulinda familia yako unaenda linda vitu visivyokuhusu, yuna mambo mengi ya kufanya usitusemew sisi watanzania, sema ccm mtamlinda kwa sababu bila yeye hamuendi chooni, pumbafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…