Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Promotion za kutosha
 
Jingaaa, tumlinde kwa gharama ipi, unaacha kulinda familia yako unaenda linda vitu visivyokuhusu, yuna mambo mengi ya kufanya usitusemew sisi watanzania, sema ccm mtamlinda kwa sababu bila yeye hamuendi chooni, pumbafu
Ondoa hasira zako hapa wewe. Fahamu ya kuwa una jeuri ya kutembea muda wowote utakao na kwenda popote pale na kulala usingizi usiku kwa sababu ya usalama na amani iliyodumishwa na Rais Samia
 
Silaha kubwa ya wapumbavu ni kujipendekeza. Rubbish
 
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania alishatoa maelekezo mazito sana juu ya kusakwa na kukamatwa kwa wahusika wote. Tuendelee kuwa na imani na vyombo vyetu vya dola.
Kipenzi cha watanzania wapi? Alichaguliwa kwenye uchaguzi upi? Imagine Magufuli asingekufa halafu CCM mwaka huu iingie kwenye mchakato wa kupata mgombea huyo mama yenu angetoboa?
Kwa tathmini yangu huyo mama yenu alikuwa vizuri sana miaka miwili ya mwanzo wa utawala wake ila kuanzia mwaka 2023 hadi leo wenye akili timamu hatumuelewi
 
Kenge maji wewe, wewe ni nani utusemee sisi sote....sema kuwa vilaza wote wachumia tumbo njaa kali mtaendelea kumlinda ili msife njaa nyinyi na familia zenu. Hopeless.
 
Amani ya kuwateka watu?
Mnatekana wenyewe,halafu mnasingizia wengine.Acheni kudhulumiana,kuchukuliana wanawake,kugombea vyeo kwenye siasa na kwenye nyumba za ibada,uhomvi wa kifamilia nk
 
Ondoa hasira zako hapa wewe. Fahamu ya kuwa una jeuri ya kutembea muda wowote utakao na kwenda popote pale na kulala usingizi usiku kwa sababu ya usalama na amani iliyodumishwa na Rais Samia
Usalama upi wewe pimbi, ndugu zetu wanatekwa unazungumzia usalama, watu wanauawa, wanasingiziwa kesi, wanapokonywa uhuru wan kuabudu, uhuru wa kukemea mabaya wewe unazungumzia usalama, nyang'au kabisa
 
Hawa funza wa ccm bado hawasomi alama za nyakati
 
Kenge maji wewe, wewe ni nani utusemee sisi sote....sema kuwa vilaza wote wachumia tumbo njaa kali mtaendelea kumlinda ili msife njaa nyinyi na familia zenu. Hopeless.
Wewe ndio una njaa kali,kwa kusema uongo.Mnateka na na kuuwana na kudingizia wengine.Albadiri haikopeshi,mnaumbuka sasa,kwa kuropoka ovyo.
 
Kwanza Rais wa mpito huwa ni mda mfupi lakini huyo ibiris mama iddy Amin Dada kang’ang’ania hadi sasa kwa njia haramu za kishetani
 
Mnatekana wenyewe,halafu mnasingizia wengine.Acheni kudhulumiana,kuchukuliana wanawake,kugombea vyeo kwenye siasa na kwenye nyumba za ibada,uhomvi wa kifamilia nk
Kama tunatekana wenyewe jeshi la polisi liko wapi kuwakamata watekaji? Acha kuwa pimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…