Ndiye aliyebeba hatma ya kila mtanzania...Naona Mama yenu mnamfanya Mungu sasa..Ndugu zangu Watanzania ,
Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.
Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.
Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.
Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.
Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.
Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huku akibubujikwa na machozi, Mzee wa kukomaa na Hoja hata kama anakutana na upinzani mkubwa, Mzee wa propaganda kama chemical Ally wa Iraq ya saddm Hussein!This time mama akuone sasa ili nawe uokote okote kidogo😅😅, maana uko na consistency nzuri sana licha ya kwamba karibia 95% ya watu wa jukwaa hili huwa hawakubaliani na maandiko yako lakini pace yako haijawahi kupungua.
Evelyn Salt kama uko na ndugu yako hajaolewa fanya umuunge na huyu bwana, maana anaonekana hata siku akimfumania live bila chenga wala haitopunguza kile kiwango cha upendo wake, sana sana ataenda kuwapikia ugali ili wale washibe baada ya jambo lao la kuunganisha mitetemo kukamilika na mikono atawanawisha huku mguu mmoja ameukunja😅😅
Kumbe Mpo wengi wa kujitoa Ufahamu!Wananchi tunamuungq mkomo mama kwa aslimia Mia moja.Wananchi tuko.psmoja naye,,maendeleo tunayaona.
Kumbe na Wewe unamfahamu!Nikuulize wewe unayefahamiana naye.
Uzazi wa mpango ni muhimu sana
Ndugu zangu Watanzania ,
Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.
Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.
Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.
Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.
Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.
Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hata kama naichukia CCM sitamvunjia heshima raisNdugu zangu Watanzania ,

Kama Mimi ndg yako ntumie hafu kumi hapoMimi sipigi kelele bali naandika ukweli ndugu yangu mtanzania
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania alishatoa maelekezo mazito sana juu ya kusakwa na kukamatwa kwa wahusika wote. Tuendelee kuwa na imani na vyombo vyetu vya dola.
Uchawa unalipa eti eeeehhhhNdugu zangu Watanzania ,
Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.
Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.
Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.
Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.
Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.
Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
DuuuuhWewe mtanzania mwenzetu umeshalawiti wangapi?
ilani ya ccm ni utekaji na wizi wa pesa za walipa kodiSiasa za Tanzania ni kwamba, Samia ni mbaya kwa wale wasioguswa direct na mkono wake wa upendo ila akikugusa anageuka mzuri ghafla, hatujui nini tunapigania maskini ya mungu, na wajinga zaidi ni wale wa itikadi, unakuta hata Samia afanye nini bado hatoshi, eti kisa ni mfia chama, siasa zetu bado zina ubinafsi ndani yetu, uzalendo ni namba B, si wale wala kule.
Kwani hukuona mama akipiga kampeni 2020? Hukumuona kwenye karatasi ya kura?Kipenzi cha watanzania wapi? Alichaguliwa kwenye uchaguzi upi? Imagine Magufuli asingekufa halafu CCM mwaka huu iingie kwenye mchakato wa kupata mgombea huyo mama yenu angetoboa?
Kwa tathmini yangu huyo mama yenu alikuwa vizuri sana miaka miwili ya mwanzo wa utawala wake ila kuanzia mwaka 2023 hadi leo wenye akili timamu hatumuelewi
CCM ni chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania na chenye kuwajali watanzania wote.ilani ya ccm ni utekaji na wizi wa pesa za walipa kodi
Mimi ni msema kweli na mzalendo wa kweli wa Taifa letuLukas Mwashambwa ni bonge la mvumilivu wa Uchawa na kushawishi Watu waamini maneno Yako,kwa Nini kijani hawaoni kukupa cheo Cha propaganda wa Chama,?Uko vizuri kwenye kutokubalika hoja zako,we umo tuu!Pokea maua Yako Kwa Kweli ya Uchawa.
Muungano utadumu mileleMuungano ufe kila mmoja akae kwao