Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Kwanza Rais wa mpito huwa ni mda mfupi lakini huyo ibiris mama iddy Amin Dada kang’ang’ania hadi sasa kwa njia haramu za kishetani
Uwe na adabu kwa Mamlaka na siyo kuropoka ropoka Hovyo kama mlevi wa gongo
 
Usalama upi wewe pimbi, ndugu zetu wanatekwa unazungumzia usalama, watu wanauawa, wanasingiziwa kesi, wanapokonywa uhuru wan kuabudu, uhuru wa kukemea mabaya wewe unazungumzia usalama, nyang'au kabisa
Mbona wewe upo salama kabisa
 
Hata mumlinde vipi, Mungu asipomlinda haitasaidia.
 
Na ndio maana mnauwa Watanzania, lakini Je Mtawauwa hadi lini?
 
Ajilinde na kujitetea mwenyewe, kila mtu ale urefu wa kamba yake!
 
Dhambi gani tena na kwakosa gani.
Una uhakika ulawiti umefanyika? Na unaweza kuthibitisha kuwa Rais wetu anahusika?
Em jiulize, ni kwanini mtu akihoji, kukemea na kupinga utekaji na mauaji ya wananchi anatishwa na watawala na anaambiwa kuwa yeye siyo mzalendo na ni mkosefu?!!!

Itoshe kusema watekaji, wauaji, wanaowatuma, watetezi wao na machawa wao, damu za wahanga zitawalilia wao na vizazi vyao milele yote!


View: https://youtu.be/dRJMyX8vL8E?si=QZK1fDXbZiA_z2yX
 
mlinde na umtetee wewe na familia yako mpumbavu mkubwa, isitushirikishe watanzania wote kwenye ipumbavu wako[emoji57]
 
Uchawa ukizidi mtu unakosa akili....unamtetea Mama Abdul kwa lipi jema? Watu washamchoka huyu Mama hata Wazanzibari wenyewe washamchoka nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…