Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Wakuu,
JamiiForums ni jukwaa la watanzania wote, ambapo ndani yake unapata kila kitu tena kwa ubora na weredi wa hali ya juu ikiwemo habari, burudani, michezo, mapishi, siasa, uchumi, lugha,nk
JamiiForums faida zake ni nyingi sana kama vile ina'save' data/bando ukilinganisha na mitandao mingine ya kijamii, jamii forums inakupa wakati mzuri wa kuchangia hoja na mawazo au maoni kwa uwazi na uhuru zaidi tofauti na mitandao mingine.
Vilevile inakukutanisha na watu wengi hasa viongozi wa nchi na watu mbalimbali maarufu wenye uelewa na maarifa makubwa yanayoihusu jamii ya watanzania na dunia kwa ujumla ukilinganisha ya mitandao mingine kama tiktok facebook huwezi kukuta mwananchi wa kawaida anajadili jambo la msingi may be na waziri wa fedha.
Watanzania wengi hawapendi kusoma/kujisomea ndio maana wengi hukimbilia tiktok, insta, X, fb nk, ili hali jukwaa hili la jf ni bora na linawafaa watanzania wote
ni mimi holoholo.