Kumbe mnajuana. Kongole mkuu.Uliye mquote sio Binti Sayuni03
Pombe, pool table, kubet, mziki na mpia= TanzaniaWatanzania mambo yetu makuu ni ushabiki maandazi wa kisiasa,mpira,USA vs China,Urusi vs USA +West nk
Nina zaidi ya miaka 10 humu, nitakuja kutoa ushuhuda jinsi JF imenifkisha pazuriWakuu,
JamiiForums ni jukwaa la watanzania wote, ambapo ndani yake unapata kila kitu tena kwa ubora na weredi wa hali ya juu ikiwemo habari, burudani, michezo, mapishi, siasa, uchumi, lugha,nk
JamiiForums faida zake ni nyingi sana kama vile ina'save' data/bando ukilinganisha na mitandao mingine ya kijamii, jamii forums inakupa wakati mzuri wa kuchangia hoja na mawazo au maoni kwa uwazi na uhuru zaidi tofauti na mitandao mingine.
Vilevile inakukutanisha na watu wengi hasa viongozi wa nchi na watu mbalimbali maarufu wenye uelewa na maarifa makubwa yanayoihusu jamii ya watanzania na dunia kwa ujumla ukilinganisha ya mitandao mingine kama tiktok facebook huwezi kukuta mwananchi wa kawaida anajadili jambo la msingi may be na waziri wa fedha.
Watanzania wengi hawapendi kusoma/kujisomea ndio maana wengi hukimbilia tiktok, insta, X, fb nk, ili hali jukwaa hili la jf ni bora na linawafaa watanzania wote
ni mimi holoholo.
For sureSio hivyo tu hakuna jukwaa humu haupaswi kutumia akili hata stories za kula matunda kimasihara zinaelezwa kwa akili kubwa.
HUWEZI KUFANANISHA JF NA INSTAGRAM FB AU X, NI KUIVUNJIA HESHIMU HIYO MITANDAO MIKUBWA DUNIANI, JF BADO SANA HUKU NI KUPOST KWENYE MAJUKWAA HAMNA JIPYAKwaiyo mdogo angu kutumia JF kunakufanya ujione matured mwenyewe? 😂 😂
Nachokifahamu mimi mtandaoni utapata contents kulingana na unachopenda, unapenda page za udaku utaletewa udaku, unapenda makalio utakuwa recommended kwa pages za makalio,
Watu wanajifunza vitu vingi wanaconnect na outside world kupitia hiyo hiyo mitandao.
Ukija humu pia unakutana na watu wanaomba ushauri jinsi ya kutembea na wake za watu, mwengine atakwambia anataka kudate na kaka yake, mwengine ataanzisha uzi anadiscuss waislam wanakula vitumbua 32 n.k sasa sijui point yako ya kuona JF ina upekee au ni bora kuliko mitandao mingine ni ipi?
Sikatai JF ni miongoni mwa platforms nzuri lakini kusema hizo nyingine hazina maana hapo umefeli kamanda.
Binafsi natumia Facebook, Instagram, reddit, X, JF na platforms nyingine kibao muda wote ni kuswitch tu kucheki yanayojiri na kushare contents.
Kiufupi hii ni Pumba 😅😅😅
Sasa huyo ni mimi ama mtoa mada?HUWEZI KUFANANISHA JF NA INSTAGRAM FB AU X, NI KUIVUNJIA HESHIMU HIYO MITANDAO MIKUBWA DUNIANI, JF BADO SANA HUKU NI KUPOST KWENYE MAJUKWAA HAMNA JIPYA
Baba yangu hawezi kufikiria upuuzi kama huu, hivyo huwezi kuwaUsidharau mtu usiemjua Mimi naweza kuwa baba yako halafu unaniletea dharau eeeer